xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Umeonaeee,,kama shooter bure kabsaaa utadhan bonge muvzero kbs
Umeonaeee,,kama shooter bure kabsaaa utadhan bonge muvzero kbs
Mpaka hukuOooh!
Kimtindo inataka kufanana utofauti unakuja training day yupo police ambaye ni rogue hayupo by the book anacheza nao michezo na sometym anawadhurumu kabisa ili kulinda informants wake analetewa mtu wa kumtrain undercover wakati yule trainee pia ana task nyingine ya kupeleleza trainer wake.... Lakini lethal weapon ni kuwa police mmoja mzoefu wa undercover ambaye ni detective Riggs ambaye pia sio mfataji mzuri wa police procedure za ukamataji na upelelezi anapatwa na matatizo ya kuwa stable kikazi na kiakili kutokana na mke wake kufariki na mimba yake kutokana na shughuli za mumewe undercover hivyo polisi department wanamuamisha mji na kumuattach/partnership na Roger ambaye nae detective mwenye kufata kanuni za police ambaye kiasili ni comedian...... Ni nzuri mkuuMzuri kiasi chake ukielewa, ila inafanana na series moja TRAINING DAY japo hii TD ni mpya humo ndani kuna partnership ya LAPD wawili kama sikosei (Roger n Rigs)
Umeona alama ya kuuliza hapo?!Cjaelewa .....unaulza ?......au......una2taarifu mkuu
Empire ya mwaka gan mkuu?? Maana nikifungua links zinakuja emoire nying,nyingWale wa empire Leo tunaendelea
Ya mwaka huuEmpire ya mwaka gan mkuu?? Maana nikifungua links zinakuja emoire nying,nying
Iko vip hii kigongo? Yan inahusiana hasa na mimi mkuu.now naangalia TAKEN
Hakuna series nachukia kama hii empire. Series za magasho na mamamsi izii mkuu achananayo.Wale wa empire Leo tunaendelea
Empire ya kiduanzi aise,niliangalia S01 tuHakuna series nachukia kama hii empire. Series za magasho na mamamsi izii mkuu achananayo.
Yaani nilihangaika play store holaaa, ndio akili ikanijia niigoogle ndio nikafanikiwa.Kwa wanao hitaji hiyo terrarium tv haipo playstore ingia hapa
Terrarium TV - Best Free HD Movies and TV Shows Android App
Nilichoipendea tu,hiyo terrerium ina subtitles optionYaani nilihangaika play store holaaa, ndio akili ikanijia niigoogle ndio nikafanikiwa.
Hans Pol simu yangu ni Android 6.0 ila imenigomea au nakosea kudownload hii app? Hebu nielekeze na mie nisibaki nyuma. Vp kwa Tab ya Samsung?Kwa wanao hitaji hiyo terrarium tv haipo playstore ingia hapa
Terrarium TV - Best Free HD Movies and TV Shows Android App
Ingia Jimtechs.info afu isearch hiyo.Hans Pol simu yangu ni Android 6.0 ila imenigomea au nakosea kudownload hii app? Hebu nielekeze na mie nisibaki nyuma. Vp kwa Tab ya Samsung?
Tumia uc browserHans Pol simu yangu ni Android 6.0 ila imenigomea au nakosea kudownload hii app? Hebu nielekeze na mie nisibaki nyuma. Vp kwa Tab ya Samsung?
Mkuu ukigusa hiyo link device yako itakuuliza unataka udawnload kwa browser gani tumia uc browserHans Pol simu yangu ni Android 6.0 ila imenigomea au nakosea kudownload hii app? Hebu nielekeze na mie nisibaki nyuma. Vp kwa Tab ya Samsung?
Empire ipo vizuri kwa wale wanapenda serios zisizo na vurugu sema wengi wamechukia ile dhana ya main character kuwa gay.Empire ya kiduanzi aise,niliangalia S01 tu