xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Hapana labda kwako,,,ila mm mwanzo nikiona hivyo kama wewe lakin nikawa naikomalia kuidownloud hvyo hvyo,,kama jana nmeipata 24 saa mbili na robo usiku nilipopata mida wa kuipakua,,kinachotokea je kule america imetazamwa saa ngp? Ukijua hiko bas unaangalia na kuipakua baada ya dk43 fresh tuTerrarium Tv inachonikera episode ikitoka siioni on tym,inaandika no syno nn sijui huko. Mpaka nikae a days ahead Ndio naweza kuiona
maana waweza shtukia watu wameanza kunjunjana.