xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Kyle xy daaah jamaa anauwezo wa kusoma vitabu mia na akawa daktar hapo hpo,,,ila nzur sanaDah hapo ongeza na
heroes
Kyle xy
Kyle xy daaah jamaa anauwezo wa kusoma vitabu mia na akawa daktar hapo hpo,,,ila nzur sanaDah hapo ongeza na
heroes
Kyle xy
kama una PC download bluestack then install hiyo terre ni ya android tu.Terre ni ya smart phone au pc
heroes and heroes reborn huu ulikuwa moto mwingineDah hapo ongeza na
heroes
Kyle xy
Aisee mm nimeishia season 2 natamani sana kuipata yote ntafanyaje ili kuipata yote huku nilipo net haiko vzrScandal ni balaa nipo naangalia season 6 hapa,hutajuta kuichek.
Jarib kuuliza wadau humu,mi ya 1-5 nilishaifuta mda tu,kama mtandao upo hata kdg download via simu tu mkuu koz mbs huwa chache.Aisee mm nimeishia season 2 natamani sana kuipata yote ntafanyaje ili kuipata yote huku nilipo net haiko vzr
Niki download kwa simu vipi ubora Wa Picha? Ntakapotaka kuiangalia kwa laptop au tvJarib kuuliza wadau humu,mi ya 1-5 nilishaifuta mda tu,kama mtandao upo hata kdg download via simu tu mkuu koz mbs huwa chache.
Mkuu hapa nieleweshe heroes reborn ni tofauti na ile heroesheroes and heroes reborn huu ulikuwa moto mwingine
Inakua poa ukiiangalia via phone kama umedownload version ya simu,ubora utapungua ukiangalia kwa laptop.Niki download kwa simu vipi ubora Wa Picha? Ntakapotaka kuiangalia kwa laptop au tv
Aisee poa mkuuInakua poa ukiiangalia via phone kama umedownload version ya simu,ubora utapungua ukiangalia kwa laptop.
hapana ulikuwa mwendelezo wake baada ya ile kuisha kiutatautata tu katika season 4 sasa wakaamua kuifufua kwa kuipa jina la heroes reborn na ilkuwa hewani last year.Mkuu hapa nieleweshe heroes reborn ni tofauti na ile heroes
Terrarium Tv inachonikera episode ikitoka siioni on tym,inaandika no syno nn sijui huko. Mpaka nikae a days ahead Ndio naweza kuionaSmartphone nkuu
Dah iliisha kibongo movie kweli, Acha nicheki mwendelezohapana ulikuwa mwendelezo wake baada ya ile kuisha kiutatautata tu katika season 4 sasa wakaamua kuifufua kwa kuipa jina la heroes reborn na ilkuwa hewani last year.
maana waweza shtukia watu wameanza kunjunjana.Tyrant pia imesitishwa, haitarushwa tena.kaka mkubwa hiv destiny ya tyrant ikoje, ndio wameacha kabisa kuitoa
kwani ww unaogopa hayo si maigizo tuu hata wakinjnjana hawafanyi kwelhivi mnawezaje kuangalia series za wazungumaana waweza shtukia watu wameanza kunjunjana.
hicho ndo kinanifanya nisiziangaliage

Sio zote mkuu,halafu si jambo lakawaida tu hilo hasa kwa wanandoa na walio kwenye mahusiano na sio kwa mda mrefu ni vipande tu afu pia inategemea wacheki series za maudhui gani huwa wanaonya mapema tu mf +18, parental control na warning kibao tu kabla ya kuitazama.hivi mnawezaje kuangalia series za wazungumaana waweza shtukia watu wameanza kunjunjana.
hicho ndo kinanifanya nisiziangaliage
Cjaiona hiiheroes and heroes reborn huu ulikuwa moto mwingine