Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kiukwel mm siwez tumia kitu ingine zaid ya terrerium tv tu bhas,,mwsho wa matatizo kwangu
 
Ingia kwenye browser yako fungua kickasstorrents.cd,,ni mwisho wa matatizo u will get almost all western series and movies,,games na apps n much more,,.then search anythng u want do download ukishaiona series episode unatoitaka tumia magnetic link via Vuze au niambie nikuelekeze jinsi ya kuigrab
embu nielekeze zaidi mkuu jinsi ya kuigrab pengine inaweza ikaondoa tatizo langu mkuu.
 
embu nielekeze zaidi mkuu jinsi ya kuigrab pengine inaweza ikaondoa tatizo langu mkuu.
Kama ulishawahi kudownload kwa kutumia torrents kama ulivyosema basi kugrab ni kile kitendo cha kutoa lile kwenye torrent site kuja kwenye torrent downloader yako kama ni utorrent, vuze,bit..nk na kuanza kuidownload.Na unafanya hivyo kwa kubonyeza ile magnetic icon au coppy url kisha upaste kwenye downloader yako.
 
nashukuru sana mkuu ngoja nipakue 24 legacy na designated survivor now nizicheki huku nikiwa nasubiri prison break next week.
 
Maana kama ni speed, inategemea unatumia mtandao gani,eneo ulilopo,na chombo unachotumia.
Kwa kawaida torrents huwa na slow speed labda uchague yenye seeders wengi au uicatch kwenye site nyingine mfano zbiggz na sio torrent downloaders kama utorrent na wenzake kisha ukishaicatch udownload na idm hapo speed itakua kubwa.
Apps kama terranium, showbox ukiwa na mtandao wenye speed nzuri utazifurahia vivyo hivyo kwa sites kama O2,toxicwap,tvserieswap na zinginezo.
Imetoka epsod ya pili season 2 bado inaendelea kutok kila wiki
Hivi into the bad land ina sehem ngapi katika sizoni hii ya pili
 
HIVI NI SITE GANI NZURI ZAIDI KATIKA KUDANLOWLD SERIES KWA MAANA KWANGU ZOTE ZINASUMBUA UKIANZIA
1.torrent
2.show box kupitia bluestack
3.terrarium TV kupitia bluestack
4.O2tvseries na nyingine nyingi tu
SASA WAKUU NAHITAJI KUJUA IPI HAIPO SLOW YANI IPO FASTA ILI NIANZE KUPAKU MIZIGO NOW kupitia PC.
Ingia Seriesdl.com au todaytvseries.com yan hizi ni uhakika has a todaytveeries
 
Wakuu nimeanza kuicheki hii series ya SCANDAL...nimemaliza season ya kwanza ndio naianza ya Pili...
Kumbe tamu hivi Maana nilikuwa naidharau.
...Kerry Washington kavaa uhusika Sana humu.
 
Na hii series ya THE LAST SHIP nayo kali.. Maana naangalia plot ya kwanza nikiona mizunguo huwa na acha.
 
Wakuu nimeanza kuicheki hii series ya SCANDAL...nimemaliza season ya kwanza ndio naianza ya Pili...
Kumbe tamu hivi Maana nilikuwa naidharau.
...Kerry Washington kavaa uhusika Sana humu.
Scandal ni balaa nipo naangalia season 6 hapa,hutajuta kuichek.
Imetoka epsod ya pili season 2 bado inaendelea kutok kila wiki
 
Maana kama ni speed, inategemea unatumia mtandao gani,eneo ulilopo,na chombo unachotumia.
Kwa kawaida torrents huwa na slow speed labda uchague yenye seeders wengi au uicatch kwenye site nyingine mfano zbiggz na sio torrent downloaders kama utorrent na wenzake kisha ukishaicatch udownload na idm hapo speed itakua kubwa.
Apps kama terranium, showbox ukiwa na mtandao wenye speed nzuri utazifurahia vivyo hivyo kwa sites kama O2,toxicwap,tvserieswap na zinginezo.
Mkuu nielekeze kuitoa torrent kupitia idm
 
Mkuu nielekeze kuitoa torrent kupitia idm
Ukishaenda kwenye site ya torrent unacopy link au url ya file unalolitaka then unafungua window mpya google zbigz.com(hii ni catching site zipo nyingi ila napendelea hii) then una paste pale hiyo link itaicatch kwa sekunde kadhaa then unaclick download,hapa kama una idm ita pop up itaanza kudownload kama huna utatumia download manager ya browser au window.
NB. Zbigz free version unatakiwa usidownload file linalozid GB 1 na multiple download pia imekua restricted kwa free version.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom