Na niliacha kuitazama kwa sababu hiyo tu habari za kina kaoge na James deliciousEmpire ipo vizuri kwa wale wanapenda serios zisizo na vurugu sema wengi wamechukia ile dhana ya main character kuwa gay.
nikaikacha season 2 baada ya kuona waziwazi habari za ki lesboShaichek thru terrirum tv janaBlindspot episode 16 on air,,,msisahau waungwana
Ichek time after time mkuu.Blindspot episode 16 on air,,,msisahau waungwana
Sci-fi ni nini ?kabla ya kudownload series huwa nacheki kama ina Drama au action.. naomba unijuze na ilo mkuu.Wakuu,wale wapenda sci-fi kuna series moja inaitwa Time After Time. Ni shidaa ni balaaa,Yaani Ni Bonge moja la series,linaanza kizembe zembe tu hivi lakini mbele balaa. Kwa walioangalia itaona revenge Daniel yuko katika hii Time After Time
Mambo ya kikubwa yapi ayo ka Spartacus nn?Bansheee ha ha ha wacha kabisa mambo ya kikubwa
Yaaa hata zaidMambo ya kikubwa yapi ayo ka Spartacus nn?
Sci-fi ni genre ya movie ambayo inahusu mambo ya sayansi ya kitchnelojia ya kusadikika,Yaani sayansi na technolojia ya hali ya juu ambayo Haipo kwa sasa duniani. Hii ina action ndio,ni nzuri inahusu time travellersSci-fi ni nini ?kabla ya kudownload series huwa nacheki kama ina Drama au action.. naomba unijuze na ilo mkuu.
Ina waigizaji wazuri.. stori "written" mbaya. Fighting scenes za ovyo.. inazidiwa na movie yakeIchek time after time mkuu.
Iko vip hii kigongo? Yan inahusiana hasa na mimi mkuu.
kuna jamaaa ameniambia kwa sasa haina hjhizo mambo afu imekolea ..sasa sijui nianzie hapa au nimetano nayo mazima ...maanamwanzoniliangalia lakini niliacha kutokana na huo ungeseHakuna series nachukia kama hii empire. Series za magasho na mamamsi izii mkuu achananayo.
Sci-fi ni kifupi cha science fiction mkuuSci-fi ni nini ?kabla ya kudownload series huwa nacheki kama ina Drama au action.. naomba unijuze na ilo mkuu.
Ngoja niijaribu,,zya mwaka gan? Na ya waswahili au weupeIchek time after time mkuu.
Kuwa mpole mpk june ndio itaendeleaLast ship lin,maana series zingine mizinguo tu
Mwakaa huu..wasahili hiyo vepe???bongo movie??Ngoja niijaribu,,zya mwaka gan? Na ya waswahili au weupe


hapanaNaamisha black american jombaaa maana kusikiliza mother f*** kila baada ya sentes moja wakat naangalia nanwife siyo jambo zur sanaMwakaa huu..wasahili hiyo vepe???bongo movie??hapana
Yeah ni nzuri kwakweli.Nilichoipendea tu,hiyo terrerium ina subtitles option