I know na ndio maana nimesema kurudi kwa 24 na PB kunanipa matumaini ya kurejea kwa The Wire ambayo nayo ni my favorite!!24 imerudi mkuu ya jack bauwer
I know na ndio maana nimesema kurudi kwa 24 na PB kunanipa matumaini ya kurejea kwa The Wire ambayo nayo ni my favorite!!24 imerudi mkuu ya jack bauwer
Me am asking??? mkuu sijui coz niliishia season 9 episode 13I know na ndio maana nimesema kurudi kwa 24 na PB kunanipa matumaini ya kurejea kwa The Wire ambayo nayo ni my favorite!!
Kumbe ulikuwa unauliza!! Imerudi inaitwa 24 Legacy lakini sterling sio Jack Bauer!! Hata hivyo, bado inaendelea kukamata kama ilivyokuwa wakati wa Bauer...Me am asking??? mkuu sijui coz niliishia season 9 episode 13
Na nyenginezo kuna:Grey's Anatomy is my life time series, ingawa season 11 imepoa
Mwezi ujao inarudiHivi bado haijarudi, into the badland?
Lucas HoodBansheee ha ha ha wacha kabisa mambo ya kikubwa
Kiukwelii hayo mambo yalinogesha sana ile seriesBansheee ha ha ha wacha kabisa mambo ya kikubwa
Download hata kupitia telegram mbona quality yake iko poa tuu...Naombeni link ya ku download 24 legacy kupitia simu, msaada wakuu
Telegram ndio inakuaje, ni ile app ya telegram au?? Msaada zaidi mkuuDownload hata kupitia telegram mbona quality yake iko poa tuu...
Yap hiyoo app ya telegram kuna chanel kibao kule zinapost series movies na mambo mengne ko ni ww tuu... Uki install jaribu ku search hiz chanel iTv share chanel au tv updatesTelegram ndio inakuaje, ni ile app ya telegram au?? Msaada zaidi mkuu
mkuu inaitwaje hii web
24 legacy episode 3
Eztv.agmkuu inaitwaje hii web