Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nani anaichek Mary kills people? Na kuna series mpya ya DOUBT imeanza iko episode 01. Kwa wale wanaotaka new movie. Lakini kwa Instagram mchek jamaa anajiita entertainment_tz namfuatilia yuko vizur kutoa updates za movie na series mpya kila siku
 
Kama kuna mtu anaweza kunipa link ya kudownload tyrant anisaidie tafadhali!

Niliiangalia juu juu tu sikuimaliza hata season moja
 
Ina story nzur Ila naona kama wamecheza kishamba sana,hata sound truck zake utadhan ngoma za mpoto....
Jina kubwaa afu haieleweki wala kuvutia basi nilidhani nitakutana na mdunguaji hatar anaepiga matukio kila kukicha kumbe zzz
 
Mi kwa kwel series ambayo sio ya kipepelez na kigaid kdgo na mauchawiiiii aisee nitaona km napoteza muda bure,,,napenda wale ma hacker wanavyoonyesha ujuz wao,jinsi wanavyofuatilia watu mpka unaona kbsa Tanzania kwa tecnology bado sana,,,,,,
 
Nyingi apo s01...rectify ndo ipo s04
Ahaa ngoja nacheki kwanz beyond, arrow na emarald city. Uku kwa mbali nikiendelea na the flash, the exosit, blindspot kimtindo na desinated savaiva mkuu... nikiendelea kui wait io prison break; ntaendelea kutafutana na Salem, the 100 na blacklists mzee babaa
 
8bf8cdaf67e517e8dc5a57db6a65d61b.jpg


24 legacy episode 3
Mkuu browser gani hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom