Series (Special thread)

Series (Special thread)

nakubal kosaa sio movie japo mm mara nying uwa najisahau nasema muvie nizoee kwa hilo....halafu hujaelewa statement yanguu....unajua kuna series zinakatishwa na kuna series znaishaa...znazokatish
wa zle mara nyingi uwa ni airtime baina yao na channel mfano mzuri game of silence...hii series haijaisha ila kwakua imekosa airtime channel hucka imeshndkana kurudi tena...ss cna maana kua hzo ni mbaya...ila kuna zle km shooter...eyewitness na zngne....izo zmeisha kabsaa...hazna muendeezo..american oddyse ile haijaisha na cjafuatilia sabbu kwnn haijaoneshwa....ukitaka kujua km series imeisha au la uwe uwe unfuatilia final epsod ya season vzr utagundua...cjui km umenielewa
Kitu gani kimekufanya uone shooter imeisha na hakutakua na season 2?
 
Nimetokea kupenda kitu cha Vikings by Ragnar pmj na Game of thrones
 
true ila kwa hiyo breaking bad namshaur atumie putlockers.ch haitamuangusha
Mi nlikua siijui hyo series BT nmeanza mlivyoisemea ni nzur nmeona ngoja nianze kuichek season moja kwanza na nimeanza kuidownloud toka SAA 4 mpka sa hizi nmemaliza season 1.
 
Mi nlikua siijui hyo series BT nmeanza mlivyoisemea ni nzur nmeona ngoja nianze kuichek season moja kwanza na nimeanza kuidownloud toka SAA 4 mpka sa hizi nmemaliza season 1.
mkuu ni nzur aseee me nilianza kama utan but ikawa my favorite show mkuu
 
Ndio naanza ichek nadhan nitaleta mrejesho hapa,na designated survivor inarud lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom