Series (Special thread)

Jaman blindspot imeishia season 2 au inaendelea maana naangalia imefika season 2 episod 11 kuna anaefaham km inaendelea zaid maana utam ndio ulikua unakolea mwsho mwsho
 
Ila utorrent kwangu naona kama inazinguaga,,,nzur na rahis kwa simu naona terrarium TV hakika ni nzr na nyepes haiitaji mzunguko wala nn,fasta tu na unachagua ukubwa unaoutaka,,kuanzia GB 1 mpka MB 68 ni wewe tu na INA quality ya kutosha
Poa naitafuta Hiyo
 
1.if loving you is wrong
2.Jane the virgin
3.being mary jane na empire kidogo maana mbeleni kulinishinda
 
Habari wanajamvi?
Mie kwakweli series ambayo.naipenda ni PRISON BREAK maana akili iliotumika sio ya dunia hiin
Wewe je sema ipi na kwanini...

prison break is the best so far ikifwatiwa na desperate housewives
 
1. prison break
2. desperate housewives
3. shameless US
4. How to get away with murder
4. NIKITA
5 Merline
6.BANSHEE
7 .90210
8. Gotham
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom