Series (Special thread)

Series (Special thread)

Khaaah! Sasa naanzaje kunjunjumuliwa tu hivi hivi na watu wamezunguka na kamera!! Labada watupe camera tunajirekodi tukimaliza tunaangalia wenyewe alafu tunafuta, tutawaambia the mission was impossible.
Teh teh!
 
Kwakweli thats true friendship haswaaa!
Tasha mwanamke wa kweli, na hakutaka kuwajengea wanae chuki dhidi ya baba yao, tena pamoja na kuachwa ila bado hakumuombea mabaya ghost.
nilimkubali zaidi baada ya ghost kuachana nae alipomfata tasha akidhani atamtosa ghost kuhusu kumuua lobos.... alinichekesha sana alipo mwambia amenilala usiku kucha tulikuwa nae ...
 
Hahahaaaaa!!! Alimuumiza anjela kweli kweli, anaumia wakati na yeye alimuibia mwenzie.
 
Hahaaaa!! Eti wako chiu kabisaa alafu uniambie wanaigiza, basi ngoja nami nikaombe japo kasin kamoja tu.
Hamna bhana... mnagegedana vipi mbele ya kundi la watu?! And you know what; wakati scenes kama zile zinapokuwa shot, moja ya kazi za wengine ni kuhakikisha mtu havuki mipaka!! Anyway, zipo filamu zenye real sex lakini sio Power!!
 
Duuuuh!! Basi sitaki tena kama hakuna mnjunjumuano wa ukweli.
 
Hahahaa... sasa ukitaka ya ukweli ukweli si tunafanya tu ya kwetu!! Sema 50 Cts aliwawakia kishenzi walipoonesha dushe lake live; ndipo nikajua, eh... kumbe na wenyewe huwa wana-mind!!
 
Aiseee yaani pale niliparewind kama mara 5 hivi

Kumbe aliwamind?
 
mnh!! Sa' nini kilikuwa kinakufanya urudie rudie?! Acha habari zako bhana, au unataka kunipiga fix kwamba umeli-miss?!
 
Sijui kwanini nilikuwa interested napo, ila nililiona dushe kabisa nikastuka kuwa ni ya kweli hii!!!
 
50 kilichomfanya ame-mind zaidi anadai aunt yake ni mpenzi mkubwa wa ile show halafu fixer wa sex scenes hakumwambia!!
 
Ndio wakome, ila wasikome maana wanatupa burudani, teh teh teeeh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom