Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,329
- 176,110
Hahahaaaaa!! Pole sana, hata sikumbuki ngoja anaekumbuka atakuambia.Episode ya ngapi hiyo dushe lilipoonekana mi sikuliona au sikuconcentrate
Hahahaaaaa!! Pole sana, hata sikumbuki ngoja anaekumbuka atakuambia.Episode ya ngapi hiyo dushe lilipoonekana mi sikuliona au sikuconcentrate
Ilikua promo tu huko insta ( episode 4) . Ilionekana 50cent alikua anatupiana maneno na creator wa power courtney kemp..Episode ya ngapi hiyo dushe lilipoonekana mi sikuliona au sikuconcentrate

Episode ya ngapi hiyo dushe lilipoonekana mi sikuliona au sikuconcentrate
Season 3 Episode ya 4!Hahahaaaaa!! Pole sana, hata sikumbuki ngoja anaekumbuka atakuambia.
Kama wataenda kumalizana watamalizana kwa mapenzi yao wenyewe lakini sio kwama eti wanaruhusiwa! Wanaruhusiwa vipi wakati pale wapo kazini na huko walikotoka wameacha wenza wao?!Ilikua promo tu huko insta ( episode 4) . Ilionekana 50cent alikua anatupiana maneno na creator wa power courtney kemp..
Kuhusu hizo sex scenes wanavaaga pa***chi bandia na mwanaume huvaa socks flani hivi.. ikisaidiwa na creative and accurate "camera angles".. isitoshe kuna kuwa kuna watu kibao wakati wakushoot hizo scenes so nothing can happen..
Sema wanaruhusiwa kumalizana nje kwa nje wakitoka kwenye shoot.
![]()
![]()
![]()
![]()
"Poteito potato"Kama wataenda kumalizana watamalizana kwa mapenzi yao wenyewe lakini sio kwama eti wanaruhusiwa! Wanaruhusiwa vipi wakati pale wapo kazini na huko walikotoka wameacha wenza wao?!
Toooba!!Season 3 Episode ya 4! View attachment 411585
Ndio ulikua unakitaka hikoToooba!!
Mi namshangaa anavyojibaraguza hapa!!Ndio ulikua unakitaka hiko
Gotcha!"Poteito potato"
Imefika episodes ngapi... manake nasubiri ziongezeke ongezeke kidogo!! Haya mambo unaangalia leo halafu nasubiri wiki mzima naonaga maumivu kusubiri!!blindspot hatareee
Hapo keshaisave kwa PC tayariMi namshangaa anavyojibaraguza hapa!!
Ya 3.Imefika episodes ngapi... manake nasubiri ziongezeke ongezeke kidogo!! Haya mambo unaangalia leo halafu nasubiri wiki mzima naonaga maumivu kusubiri!!
Duh! Kwahiyo bado miezi miwili kumaliza nusu ya kwanza!!!Ya 3.
Sijakuelewa.Duh! Kwahiyo bado miezi miwili kumaliza nusu ya kwanza!!!
Blindspot ni full season series yenye episodes 22... sasa huwa wanaanza na 11 episodes halafu wanachukua winter break at the end of december (21/22) baada ya hapo wanarudi tena at the end of march (spring) kumalizia 11 zilizobaki!!! Sasa kama 3 tayari zimeoneshwa, ina maana bado 8 kabla hawajaenda break.Sijakuelewa.
Oooh!! Basi tukalale mie nina usingizi, ila sitaki fujo za ghost.Blindspot ni full season series yenye episodes 22... sasa huwa wanaanza na 11 episodes halafu wanachukua winter break at the end of december (21/22) baada ya hapo wanarudi tena at the end of march (spring) kumalizia 11 zilizobaki!!! Sasa kama 3 tayari zimeoneshwa, ina maana bado 8 kabla hawajaenda break.