Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,890
- 34,880
Ako kasin unachoomba uwepo ndio kimenifanya niguneHahaaaa mbona unaguna?
Ako kasin unachoomba uwepo ndio kimenifanya niguneHahaaaa mbona unaguna?
Si ili nikashuhudie kama ni kweli kweli au wanaigiza[emoji85] [emoji85]Ako kasin unachoomba uwepo ndio kimenifanya nigune
So km ni kweli na ww utafanya?Si ili nikashuhudie kama ni kweli kweli au wanaigiza[emoji85] [emoji85]
Mmesahau. Kipindi Tasha yuko na Sean alikua tayari ghost afe na hata Sean alipokufa Tasha thought ghost killed him so alimhate balaa.Kwakweli thats true friendship haswaaa!
Tasha mwanamke wa kweli, na hakutaka kuwajengea wanae chuki dhidi ya baba yao, tena pamoja na kuachwa ila bado hakumuombea mabaya ghost.
Yaani unaeza kuta hata kukiss hawajawahi.....technologyHahaaaa!! Eti wako chiu kabisaa alafu uniambie wanaigiza, basi ngoja nami nikaombe japo kasin kamoja tu.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahaaaaa!! Hili swali hili.So km ni kweli na ww utafanya?
Mmmh!! Hii siikumbuki, ninachokumbuka alimchukia ila hakumuombea mabaya.Mmesahau. Kipindi Tasha yuko na Sean alikua tayari ghost afe na hata Sean alipokufa Tasha thought ghost killed him so alimhate balaa.
Mmmmh!! Yaani hili akili yangu imegoma kuamini.Yaani unaeza kuta hata kukiss hawajawahi.....technology
Mtego nn?Hahaaaaa!! Hili swali hili.
Rudia season 2Mmmh!! Hii siikumbuki, ninachokumbuka alimchukia ila hakumuombea mabaya.
Coz ndio inawaza hiko tuuu na sio kingine[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mmmmh!! Yaani hili akili yangu imegoma kuamini.
Hahahaaaa! Nitajua nikipata hako kasin kenye mnjunjumuano[emoji85]Mtego nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mkuu,kila la heriHahahaaaa! Nitajua nikipata hako kasin kenye mnjunjumuano[emoji85]
Aiseeee!!Rudia season 2
Hamna bwana inawaza na mpz wa tom alivyokufa alafu mjamzito.Coz ndio inawaza hiko tuuu na sio kingine[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Eti kila la heri[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mkuu,kila la heri
Yah!sie tutaisubiria hiyo sin kwa hamu sana tena[emoji12]Eti kila la heri
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hio hata season 1 sikumalizaAiseeee!!
Hamna bwana inawaza na mpz wa tom alivyokufa alafu mjamzito.
Jamani lucious wa empire ananifurahisha alivyo na wivu kwa cookie wakati waliahaachana.
Hahaaaa!! Ndio wale mliochukizwa na ugay?Hio hata season 1 sikumaliza
Sasa hiyo haitorushwa hewani, itabaki maktaba[emoji12]Yah!sie tutaisubiria hiyo sin kwa hamu sana tena[emoji12]