Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,140
- 159,055
Aliniudhi alivyomwacha mkewe, hata siwaonei wivu, nawaonea huruma.Au unamuonea wivu Tasha na Angela Valdez
Aliniudhi alivyomwacha mkewe, hata siwaonei wivu, nawaonea huruma.Au unamuonea wivu Tasha na Angela Valdez
Nilijua tu lina uhusiano na hiloAliniudhi alivyomwacha mkewe, hata siwaonei wivu, nawaonea huruma.
Kwenye the team na sisi tumetajwaYeah na wanajua kimeorignate nairobi kenya.. kila series ya mambele.. wakitaja east africa .watatongelea kenya tu.. tanzania, no way..
Yani imeisha huku unatamani uendelee kuangalia noma kweliSijawahi ona series inaisha hot Kama ilivoisha Power season 3.
What an end? Can't wait for season 4.
Ishaanza mtaninaisubiria quantico season 2
..nope..kesho ndo inatoka S2E1Ishaanza mtani
Power imeishaje jaman, maana ssn 3 nimeona episode 5,Sijawahi ona series inaisha hot Kama ilivoisha Power season 3.
What an end? Can't wait for season 4.
Whaaaaaaat!Yeah. Ghost kakamatwa
Niliona show box wameiupdate s2 epsd1 tangu trh26, au ile sio?..nope..kesho ndo inatoka S2E1
Hahaha nisikuadithie just shusha hizo episode tano uone. Ni motoPower imeishaje jaman, maana ssn 3 nimeona episode 5,
Holly ameuliwa na Tommy,
Ghost na Tommy wamerudi pamoja,
Kanan is back to life.
Je ni hapo tu au imeendelea??
Mkuu american odyssey waliicancel ikiwa ktk season ipi na episode ya ngapi?Hahaha nisikuadithie just shusha hizo episode tano uone. Ni moto
Tatizo umekomaa na kina choi kang chi
Season 1 tuuu episode 12 I thinkMkuu american odyssey waliicancel ikiwa ktk season ipi na episode ya ngapi?
Teh teh teh, siku hizi sio sana, nafatilia zote zote,Hahaha nisikuadithie just shusha hizo episode tano uone. Ni moto
Tatizo umekomaa na kina choi kang chi
Yeah ni kweli ila episodes hizi za mbele walau hayakuwepo kivile. Niliona ya Tasha na ghost na Angela na Knox basi na hazikua Kama zile za mwanzo hata mzoefu unafumba machoTeh teh teh, siku hizi sio sana, nafatilia zote zote,
Sasa hebu turudi nyuma kwa Power, hivi yale mambo wafanyayo unajua hata Spartacus haitii mguu pale,
Kuna muda hua naona kama wanafanya kweli vile
Ishaanza toka juzi..nope..kesho ndo inatoka S2E1
Naipenda scrubsMimi nilizoangalai na kuvutiwa ni
Gray's anatomy
Scrubs
Angle's of mercy
Prison break
Oooh spartacus!!!! Hii series acha kabisa1-The vikings
2-Da vinci demons
3-Spartacus
4-The tudors
5-Vampire diaries