Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kama kawa my first and top TV show prison break sasa maandalizi Ya season 5 yameisha stay tuned bonge la season soon will be released

Jamani nimeona kionjo chake but mpaka sasa sijajua ratiba za kuwa hewani......Hii haijapataga mpinzani
Haya ni baazi ya matukio ktk prison break katika picha.
View attachment 400982View attachment 400984View attachment 400985View attachment 400986View attachment 400987View attachment 400989View attachment 400990View attachment 400992View attachment 400993View attachment 400995View attachment 400997View attachment 401000View attachment 401002View attachment 401004View attachment 401005View attachment 401006
Duh! huyu sancho alitaka kummaliza tbag hakujua kama bagwel ni chuma cha pua akafanya yake na kutimua
 
Nimeitizama ep1 tu daah imeanza kwa biti kali sana...hope hawatafanya makosa....ep2 ishatoka kweli?!
Screenshot_2016-09-26-20-30-40.png

Naisubiri hapoooo..in 3days
 
Yeah na wanajua kimeorignate nairobi kenya.. kila series ya mambele.. wakitaja east africa .watatongelea kenya tu.. tanzania, no way..
Aisee ni kweli, hili nimeliona kwenye movie nyingi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom