Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimemaliza kutazama episode 10, nikaenda kusoma tena Gemini, nikauliza maswali mengi nikapata majibu, nilivyo serious kama vile kuna pesa inaingiza, so far nime enjoy sana Silo..!
Series unaanza kuipenda zaidi ukishaanza kufuatilia na nje ya screen 😃
 
Series: SCARECROW

Hii ni series ya kikorea ni ya akili sana serious series haina comedy inahusiana na muuaji ambaye amevaa mavazi kama Crow anauwa mabinti na haijulikani kwanini anafanya hivyo Sasa polisi wanafanya upelelezi walitaka kujua huyo muuaji ni Nani? Na kwanini anawalenga wanawake pekee? Kitu ambacho kimenivutia kwenye hii series muuaji ukija kumjua baadae huwezi kuamini. Episode kuanzia ya pili ndio ukali unaanzia.
 
Hii nimeishusha natafuta the gentlemen season 2
Scars
Screenshot_20260907-122657.png
 
Naomba unipe series Kali tatu nikazicheki maana wewe unajua vitu vizuri
Nyingi najua utakuwa umesha zicheki ila za hivi karibuni nilizo shusha bado sijaziangalia ni hizi
1788785295785.jpeg

Season 2 The gentlemen
1788785401603.jpeg

Reacher season 4
1788785924490.jpeg

Outer banks
1788786017387.jpeg

1788785664999.jpeg


1788785851172.jpeg

1788785890404.jpeg


Hizo zote sijacheki hata moja unaweza kuangalia trailer zake uamue upite na ipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom