July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Kwa wapenzi wa supergirl na the flash jiandaeni kwa bonge la episode iyo jtatu the 28th
Hakuna suits yenye episode 22YES!!! Series nyingi US wanakuwa na Winter break na moja ya hizo series ni pamoja na Blindspot na Suit. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Season 1 itakuwa na 22 episodes.
Nafkir itakuw poa, maana ckuiz Arrow pamoja na The flash znaenda znakosa mvuto kabisa kw upande wang.
I miss it too, hapana chezea keisha kwakweli.Daah so sad Single Ladies ilivyofungiwa,
Story ilikua tamu ssn 1 na 2, ila 3 wakaifanya ya matusi sana.
I mic Keisha, Raquel na yule mzungu eti nimemsahau khaah!
I miss it too, hapana chezea kiesha kwakweli.
Mie tena nilivyo msahaulifu, nimemsahau jina!!Yule mzungu anaitwa nani vile
Mbona toka kitambooo. Tushaimaliza na kuisahauNimeona Marvel Daredevil Season 2... ipo hewanii
![]()
You're RIGHT but nilitoa mfano wa Suits kwa series zinazooneshwa kwa muda halafu ikifika Winter Season wana-suspend kabla hawajaendelea episodes zingine baadae. Niliyosema kuwa na 22 episodes nilimaanisha Blindspot na ndio maana nilisema Season 1 itakuwa na....Hakuna suits yenye episode 22
11 mpaka 15
Mkuu nipatie nyingine kalii kama hiiMbona toka kitambooo. Tushaimaliza na kuisahau
Index of /Serial/Daredevil/