Series (Special thread)

Series (Special thread)

Habari wadau,

Wale wapenzi wa series maarufu ebu tupeane maujanja.Nataka kujua series hasa za Hollywood zinazo deal na mambo ya Intelligencia na Middle East

Mfano Tyrant, Homeland,Strike back,ebu nisaidien nyingine zilizopo

au kama kuna movies kali za hivyo kamaYa Adolph Hitler

Majina ya hizo series tafadhari.
 
Series za kinterejinsia zipo nyingi sana Person of interest, The American, The Blacklist, Blindspot, Quantico, Banshee, legend ingia Imdb utafute series unazotaka.
 
Series za kinterejinsia zipo nyingi sana Person of interest, The American, The Blacklist, Blindspot, Quantico, Banshee, legend ingia Imdb utafute series unazotaka.
Iyo Quantico naielewa sana EB nitafute iyo unayosema y person of interest and the american....umesema niingie WAP iyo lmdb ni sawa na utorrent
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom