Series (Special thread)

Series (Special thread)

Daredevil mzigo umetema woteee season two episode 1 hadi 12 ambayo ndio season finale.

Pakua uone kipofu anapotumia milango mingine ya fahamu kuona na kuhisi na kunusa hatari na kila maovu.
Inahusu nini hii?
 
Wadua series gani yenye love story nzuri..2015/2016..
sina series yakuangalia sasa wakat nikisubiria series zangu pendwa Game of Thrones, Power, Tyrant, Empire, Narcos zitoke next season.
 
Anafanya mambo Kama ya oliver queen.. Mchana ni mwanasheria mzuri yeye na best yake ila usiku ni vigilant mzuri pia hahaha.
Iko poa kiasi chake
Oooh! Poa mkuu.
Mmmh! Vigilant na ni kipofu itakuwa interesting kwakweli.
 
fungua link ..usijitolee sababu zako kichwani.... wakati ilikuwa ishapata mashabiki wengi sana ... sababu ni tofauti na ulizotaja.....
kwn ww mtoto wa nzi sabab unazozijua n zip? tuwekee na ss tupate kujua kiongoz.
 
fungua link ..usijitolee sababu zako kichwani.... wakati ilikuwa ishapata mashabiki wengi sana ... sababu ni tofauti na ulizotaja.....
Labda hatukuelewana. hizo ni reasons chache kati ya nyingi zinazosababishwa series kuwa cancelled. iyo ya kwene iyo link labda ndo ilisababisha iyo kuwa cancelled. naona ka vilefrustration zako umeamua zimalizia kwangu
 
kwa kuwa wewe ni mke wangu hongera ....kwa kujua nna frustration......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom