Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hivi series ya legend of the seeker inaishia namb ngap??
Season 2 episode 22
45ec4e3a626625bb08a0d9e9c7297f26.jpg
d424ac9067a6439b7247ac79feb66502.jpg
 
Hiii inaonekana itakua tamu. Ipo season ngapi
Season 4 ndo imeanza juzi!! Kuna issue moja ilitokea US few years ago wakati huu huu wa Obama ambayo inafahamika kama Illegal Program ambayo nayo ilihusisha Russian Spies ambao walijipenyeza US na kuishi kama Wamarekani! Hii ni real story ingawaje wengine wanaamini ilikuwa staged na FBI but not!!! Sasa kama issue ya Illegal Program unaifahamu basi kuna mfanano flani hivi wa premise kati ya Illegal Program na The Americans!! Na ile Illegal Program siku wanakuwa arrested ilikuwa kama movie flani hivi!!
 
Season 4 ndo imeanza juzi!! Kuna issue moja ilitokea US few years ago wakati huu huu wa Obama ambayo inafahamika kama Illegal Program ambayo nayo ilihusisha Russian Spies ambao walijipenyeza US na kuishi kama Wamarekani! Hii ni real story ingawaje wengine wanaamini ilikuwa staged na FBI but not!!! Sasa kama issue ya Illegal Program unaifahamu basi kuna mfanano flani hivi wa theme kati ya Illegal Program na The Americans!! Na ile Illegal Program siku wanakuwa arrested ilikuwa kama movie flani hivi!!
Wow! Inaonekana ni nzuri hii.
 
Wow! Inaonekana ni nzuri hii.
Kama unapenda spy stuffs, basi ijaribu the Americans!!! Na kwa kuangalia taste zako hapa JF, I guess hata hii utaipenda! Unajua msingi wa kwanza kabisa wa movie/series yoyote ni story! Story ikiwa kali na ukapata director mzuri, hata wewe atoto unaweza kutoboa kwenye movie yako ya kwanza tu Hollywood hata kama hujawahi kuigiza! Sasa mwandishi wa story ya The Americans ni ex-CIA officer... kwahiyo anaandika kitu anachokifahamu!
 
Okey, ngoja nidownload japo 2episods niicheki.
 
Hahaa, mimi nilikuwa na kiherere cha kuona nini kilitokea baada ya Paige ku-blow cover ya wazazi wake kwa Mchungaji kwahiyo nikalazimika nifanye haraka kuangalia S04E01 wakati kwa kawaida huwa napenda kuiangalia in batch ya angalau 3 episodes ili nisipoteze flow ya story.
 
Sasa mbona unanitamanisha kujua ilikuwaje?
 
Nikikuambia nitakuondolea ladha... iangalie kwanza na usipopenda kuendelea nayo ndo nitakuambia what happened... na ikiwa huyo Mchungaji ni mchungaji kweli au nae ni Russian or CIA Spy posed as mchungaji!!!!
 
Khaaaah! Thio vidhuli!! Ninong'oneze
 
Hahaa.... lakini mkuu si unafahamu kwamba haya mambo yanaongozwa sana na personal taste? Binafsi napenda sana spy stuff na kwa spy series, naweza kusema with confidence hii ni TOP! Lakini kama ni mfuasi wa mambo ya kutwangana magumi, full machine guns... hii inaweza kukuboa!!! Kwenye hii, watu wanatolewa roho kimyakimya.... si unajua tena majasusi?!!
Mkuu chige hii ina missions pia? Nashusha plot yake niione na mm napenda sana u spy

Update...

Nimeicheki episode 1 ni kali sana asante mkuu naipakua yote sasa
 
Daredevil mzigo umetema woteee season two episode 1 hadi 12 ambayo ndio season finale.

Pakua uone kipofu anapotumia milango mingine ya fahamu kuona na kuhisi na kunusa hatari na kila maovu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom