Series (Special thread)

Series (Special thread)

Screenshot_20260916-084903.png

Ni leo😋😋
 
Wale wa iPhone sasa hivi ukilipia zako iCloud ya Tshs. 2500 (Buku Mbili Jero) unapata huduma ya Apple Tv bure kwa mwezi mzima

Hivyo series kama Plubris, Silo, Dark Matter, See, Slow Horses na zingine nyingi unazikuta huko na zote mpya zinazotoka

Pia movies zote za Apple utazikuta hapo

Lakini wale wa kabumbu, unatazama mechi zote za MLS (ligi kuu ya Marekani) anakocheza Messi live

Mbio za Formula one nazo

Kikubwa uwe na unlimited tu
 
Utaleta mrejesho ikiwa niruke nayo au niipotezee
Usijali Mkuu, ila mwenyewe niko haste haste sana sijawa na timing nzuri ya kutulia kucheki series.

Ila ikinibamba nanyooka nayo hadi mwisho.

Kingine huyu Jack Reacher ni kama anataka kuwa kama Jason Statham maana kwa mwaka anatoa series na movie back to back.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom