kuna sarah Lynn 😂 kafa kwa matumizi ya dawa za kulevya kule ukumbini, kiufupi show ni kali kuanzia ile theme song yake kule mwisho ''back in the 90s i was in the very famous tv shooooow...."The night of nmechek mpaka e09 je imeendelea au tunasubiri s2?
Nan kaangalia american crime story na bojack horseman zikoje?
Tuambizane best new series kwa mwaka 2016 tukiacha upambe wa imdb na wale wazee wa nyanya rotten tomatoes
Siku ukiona wanajeshi wamekubali magwanda yatumike kuigiza kama zile muvi za deltaforce basi tutakuwa tumeanza kukaribia hukoNatazama ‘die another day’ kitu cha 2002 huko na ni kikali hivi, nimewaza hivi sisi wabongo kukaribia tu kitu kama hiki bado kama miaka mingapi..!??😒
wavae hata za nchi nyingine zisizo na ubishoo kama huu wetu, ama na hiyo wanaweza ona wivu tena..!??😁🙌🏾Siku ukiona wanajeshi wamekubali magwanda yatumike kuigiza kama zile muvi za delataforce basi tutakuwa tumeanza kukaribia huko
Mqvazi yoyote yanayo elekea combat kwenye nchi yetu ni MWIKO huwa nadhangaa sanawavae hata za nchi nyingine zisizo na ubishoo kama huu wetu, ama na hiyo wanaweza ona wivu tena..!??😁🙌🏾
kheeeeh’..!Mqvazi yoyote yanayo elekea combat kwenye nchi yetu ni MWIKO huwa nadhangaa sana
cheo kiendane na mamlaka..!Good acting. Ila wanawake mkipewa kacheo..
View attachment 3648843
Huyo na ukali wote huo si anasagana na Cruz 😁Good acting. Ila wanawake mkipewa kacheo..
View attachment 3648843
Cruz ni mtata sana ila nahisi yule demu wake ndio kamuuza Joe
hii clip nimeiona leo mjini 𝕏 🤔Good acting. Ila wanawake mkipewa kacheo..
View attachment 3648843
Naomba link nikaitazame namimi nianze weekend yangu taaratibu😎Natazama ‘die another day’ kitu cha 2002 huko na ni kikali hivi, nimewaza hivi sisi wabongo kukaribia tu kitu kama hiki bado kama miaka mingapi..!??😒
nenda katafute 9jarocksNaomba link nikaitazame namimi nianze weekend yangu taaratibu😎
Niliiona ime pop nkiri.ink nikaruka nayo, utaikuta humo mama la mama..!! nimeshindwa ku share link yake moja kwa moja kila nikigusa inanipeleka kwenye kuipakua..!Naomba link nikaitazame namimi nianze weekend yangu taaratibu😎
Nitaipata tu, Missing you though ☺️Niliiona ime pop nkiri.ink nikaruka nayo, utaikuta humo mama la mama..!! nimeshindwa ku share link yake moja kwa moja kila nikigusa inanipeleka kwenye kuipakua..!
Missing you more kamamaa kangu..!🫠Nitaipata tu, Missing you though ☺️
website zote sizielewi nimeona nikalale tu mie,Missing you more kamamaa kangu..!🫠
yes ipo, uki search tu nkiri unaipata..!
unashindwaje bhaaana kamamaa..!website zote sizielewi nimeona nikalale tu mie,
Am glad u do mama'ke