Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hahahaaaa! Pole sana, mie kukosekana kwa jack beuer tu baaaasi sina mzuka nayo tena.
Usihofu atoto, utaipenda tu unless ujenge negative perception kabla hujaanza kuiona!! Timu inayotengeneza Legacy naikubali...Character anatengenezwa!!! Na ukitaka kuamini Character anatengenezwa... subiri hiyo Legacy ambayo Bauer hatakuwapo na Designated Survivor ambayo main Character ni Bauer!
 
Hii huwa rahisi kwenu wapenda story! Sie wengine huwa tunapenda watu , ila ngoja tuisubiri tuone.

By the way, how are you?
 
Issue si kuona ni mambo ya kawaida bali it's none of my business! Mimi hata in real life sina time na maisha ya mtu asiyenihusu na ndio maana hata hapa JF nikiona watu wanatoka mapovu eti oh, fulani malaya... sijui fulani amekondeana.... huwa sina time na stori kama hizo... that's one but second, gay portrayal in Hollywood wala hawatulengi sisi bali wanalengana Wamarekani wenyewe ambao kuna baadhi wanaona gayism ni kawaida tu na wengine wanaona ni serious crime... hawa, ndio wanaowalenga Hollywood!! Sasa unless kama unamaanisha wenye misamamo hasi from America, then I agree with you lakini kama ni wale wa Afrika; come on man; wala hawana time na sisi!! Lakini third, mimi kuna mambo yananikera zaidi kuliko huo ushoga kv yananiathiri moja kwa moja! Dume zima likiamua kutoa makalio shauri yake na ndugu zake ndio anawadhalilisha lakini sio mimi! Kinyume chake, Afrika kuna wezi kwenye kila ofisi ya serikali... wezi hawa wanatufanya tukose maji, umeme, barabara, huduma za afya n.k!! Yaani Waafrika ingekuwa tunachukia ufisadi nusu tu ya vile tunavyochukia ushoga, wallah hili bara lingekuwa mbali sana!!!!

Anyway, in short I don't care...!! Thanks God nadhani hatuna shoga kwenye familia lakini eti niumize kichwa kisa ushoga wa XYZ wa Magomeni au Kinondoni ambao wala hawanihusu.... wala sina huo muda-- na ktk hili kuzitaja series za US ni kuwaonea manake hata huko vijijini watu wanatatuana marinda na wala hizo series hawajawahi kuzikia achilia mbali kuziona!!

Mkuu much as I'd love to mind my own business the issue of same sex relationship inanihusu so I mind it as my own cos it might be my bro/sis or even son/daughter nisipokuwa na misingi ktk hili nadhani nitakuwa namkosea Mungu. I can do what I can and kuachana na hizo series ni one of my moves!
 
Hii huwa rahisi kwenu wapenda story! Sie wengine huwa tunapenda watu , ila ngoja tuisubiri tuone.

By the way, how are you?
I am doing good my dear... hilo la kupenda watu na stori upo sahihi kabisa! Kwa mfano, my favorite series ni The Americans lakini Characters wote wanaboa... sidhani kama kuna Character wa The Americans anaweza kutolewa halafu nikam-miss! Hata hivyo, hii series ni Top in my favorite kv napenda stori yake na plotting!!
 
Pole sana Mkuu, I know hizi gay stuff scenes zinavyokukera! Nikimchukua huyo James Novak (Dan Bucatinsky) na Cyrus kwenye Scandal na ule ushoga wao wa uzeeni; walikuwa wananikera si kidogo hususani wanapokuja kwenye masuala ya kupigana lita! Wakinekera sana ninachofanya ni ku-forward tu na maisha yanaendelea... kimsingi, I don't care much!
Yaani mm hio roho imegoma kabisa yaani..imagine niliacha empire sikumaliza hata episodes nne
 
Hii ndio njia wanayoitumia ili sisi ambao tuna msimamo hasi kwa mapenzi ya jinsia moja tuone ni mambo ya kawaida! I can see they've won in some ways... Niliacha kuangalia Empire cos of that na hata hiyo scandal pia same same! Kwa kifupi mimi siwezi kuangalia ushoga nikauzoea, if it means kuachana na series I will!
At least nimepata mwenzangu ambae tunasail same boat.
Yaani if it reach a time kwamba sasa kila movie na series ni ushoga tupu then I better watch futuhi tuuu.
 
I am doing good my dear... hilo la kupenda watu na stori upo sahihi kabisa! Kwa mfano, my favorite series ni The Americans lakini Characters wote wanaboa... sidhani kama kuna Character wa The Americans anaweza kutolewa halafu nikam-miss! Hata hivyo, hii series ni Top in my favorite kv napenda stori yake na plotting!!
Hiyo mie sijaicheki aisee! Inahusu nini?
 
Tyrant niliachana nayo, Game of throne pia, sasa hivi naangali last ship na homeland ila nazo zikiingia huko nazipotezea
Tyrant mbona ina gay scenes chache sana! GoT inaniboa kv pamoja na mambo mengine, sex scenes zimekuwa nyingi mno halafu ni ndefu! Napenda zaidi stori kuliko action... sasa sex scenes zikiwa nyingi zinapunguza stori na ndio maana hata hiyo Scandal, nafuatiliaga stori lakini ikifika kwenye mambo yao, na-forward and I don't care whether ni gay or straight thing.
 
Hii huwa rahisi kwenu wapenda story! Sie wengine huwa tunapenda watu , ila ngoja tuisubiri tuone.

By the way, how are you?
Hahahaha sisi wapenda watu tuna hatari Sana. Bauer nimetazama hadi mimuvi ambayo hajacheza kivile lakini nimezipenda tu koz of Bauer. Yaani nikimuona tu kwa movies naikumbuka 24
Mwaka huuu yumo kwenye movie inaitwa forsaken na nimeipenda pia koz of him. Ingawa sio Kali kivile.
 
I am doing good my dear... hilo la kupenda watu na stori upo sahihi kabisa! Kwa mfano, my favorite series ni The Americans lakini Characters wote wanaboa... sidhani kama kuna Character wa The Americans anaweza kutolewa halafu nikam-miss! Hata hivyo, hii series ni Top in my favorite kv napenda stori yake na plotting!!
Ngoja nije niitafte walau episodes mbili. Maana mara ya nne hii naona unasema kwako hiiii ndio best of all.

Ngoja nichungulie nione kwann
 
Hiyo mie sijaicheki aisee! Inahusu nini?
The Americans ni series ya kijasusi na kama tunazungumzia za kijasusi, hii ndo ya kijasusi hasa kuliko series nyingi tunazoita za kijasusi! In short inazungumzia zama za cold war wakati wa utawala wa Ronald Reagan ambapo, two Russian Spies ambao wanaishi America like American citizens huku wakiwa na watoto wawili, nyuma ya maisha yao halisi ni majasusi wa Urusi huku jirani yao mkubwa ni FBI Agent!! Maisha yao ni ya usiri mno lakini finally, mtoto wao mkubwa binti wa 15 years amefahamu kwamba wazazi wake si Wamarekani bali ni Russian spies... mambo yamezidi na kushindwa kuvumilia na hivyo amefichua siri kwa mchungaji! Lakini jinsi Warusi walivyojipanga, nahisi na huyo Mchungaji mwenyewe ni kama nae ni Russian Spy!
 
Hahahaha sisi wapenda watu tuna hatari Sana. Bauer nimetazama hadi mimuvi ambayo hajacheza kivile lakini nimezipenda tu koz of Bauer. Yaani nikimuona tu kwa movies naikumbuka 24
Mwaka huuu yumo kwenye movie inaitwa forsaken na nimeipenda pia koz of him. Ingawa sio Kali kivile.
Yaani nawaza bila beuer kutalika kweli humo ngoja tusubiri tuone!
 
Ngoja nije niitafte walau episodes mbili. Maana mara ya nne hii naona unasema kwako hiiii ndio best of all.

Ngoja nichungulie nione kwann
Hahaa.... lakini mkuu si unafahamu kwamba haya mambo yanaongozwa sana na personal taste? Binafsi napenda sana spy stuff na kwa spy series, naweza kusema with confidence hii ni TOP! Lakini kama ni mfuasi wa mambo ya kutwangana magumi, full machine guns... hii inaweza kukuboa!!! Kwenye hii, watu wanatolewa roho kimyakimya.... si unajua tena majasusi?!!
 
Hahahaha sisi wapenda watu tuna hatari Sana. Bauer nimetazama hadi mimuvi ambayo hajacheza kivile lakini nimezipenda tu koz of Bauer. Yaani nikimuona tu kwa movies naikumbuka 24
Mwaka huuu yumo kwenye movie inaitwa forsaken na nimeipenda pia koz of him. Ingawa sio Kali kivile.
Haya mambo ya kujenga mahaba kwa Character yaliwahi kunitokea kwa Anna-Lucia wa Lost! Waandaji wa Lost waliniboa baada ya kumpoteza mapema na hivyo nikalazimika kutafuta kazi zake zingine!!! Lakini kimsingi, series huwa naangalia sana nani mwandishi, nani director... yaani production team and sometime hata production company ingawaje pia huwa najenga imani kwamba great actor hawezi kukubali kufanya kazi mbovu!
 
Mimi sijui producer au director na mwandishi muda nao sina kabisa. Nataka nione tu vitendo bhaasi.
 
Mkuu much as I'd love to mind my own business the issue of same sex relationship inanihusu so I mind it as my own cos it might be my bro/sis or even son/daughter nisipokuwa na misingi ktk hili nadhani nitakuwa namkosea Mungu. I can do what I can and kuachana na hizo series ni one of my moves!
Hahaa... na ndio maana nikasema ninachojali ni kwamba tu asitokee mwanafamilia manake inakera na hii si kwa ushoga tu bali all other bad stuffs kv wizi, drugs use, ulevi usio na maana n.k!!! Anyway, nadhani am selfish! Mimi sinywi wala sivuti lakini ukiniambia nichague kuishi na nani kati ya mlevi (sio mnywaji) na mvuta bhangi; nitachagua niishi na mvuta bhangi manake hii mibhangi yake naamini itamuumiza yeye mwenyew na upumbavu wake lakini mlevi atakuwa ananikera hadi na mimi! Probably I have bad experience na walevi... kwangu nawachukulia kama ni wapiga kelele, wafanya vurugu n.k mambo ambayo ni nadra kwa wavuta bhangi!! Sasa hawa mashoga ndivyo ninavyowachukulia... si kwamba nawapenda, lakini ni kwamba hawanisumbui so long I have none in my circle!
 
The Americans ni series ya kijasusi na kama tunazungumzia za kijasusi, hii ndo ya kijasusi hasa kuliko series nyingi tunazoita za kijasusi! In short inazungumzia zama za cold war wakati wa utawala wa Ronald Reagan ambapo, two Russian Spies ambao wanaishi America like American citizens huku wakiwa na watoto wawili, nyuma ya maisha yao halisi ni majasusi wa Urusi huku jirani yao mkubwa ni FBI Agent!! Maisha yao ni ya usiri mno lakini finally, mtoto wao mkubwa binti wa 15 years amefahamu kwamba wazazi wake si Wamarekani bali ni Russian spies... mambo yamezidi na kushindwa kuvumilia na hivyo amefichua siri kwa mchungaji! Lakini jinsi Warusi walivyojipanga, nahisi na huyo Mchungaji mwenyewe ni kama nae ni Russian Spy!
Hiii inaonekana itakua tamu. Ipo season ngapi
 
Mimi sijui producer au director na mwandishi muda nao sina kabisa. Nataka nione tu vitendo bhaasi.
Yah, majority wanajali nini kipo kwa screen... wanaangali walio front! Binafsi nimeshajizoesha vibaya, lazima niangalie back camera kuna nani na huwa nafanya hivyo kabla ya kuchukua uamuzi wa ku-download!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom