Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 27,119
- 78,869
Ina mambo mengi mengi mi inanikera!😑Ile ya marvel? Ya kawaida sana
Ina mambo mengi mengi mi inanikera!😑Ile ya marvel? Ya kawaida sana
ukisikia a confusing plot twist ndiyo kitu kama kilichofanyika humu..!🙌🏾
Ha ha mwandishi kama twists anaziweza..sikutegemea kabisa eti Maya ndo alimuua Joe 😀ukisikia a confusing plot twist ndiyo kitu kama kilichofanyika humu..!🙌🏾
Mimi mwenyewe nilibaki kidogo nichanganyikiwe..!
Ukimaliza angalia, The Stranger na Fool me once!'I will find you' nimeanza nayo niko episode ya 3. So far nimeipenda!
Kali sana mi nimeshaimalizaReviews za wadau zina onesha ni nzuri
na kakazana toka episode ya 1 anatafuta muuaji, na sisi tukamsaidia kuchukia baadhi ya characters..!Ha ha mwandishi kama twists anaziweza..sikutegemea kabisa eti Maya ndo alimuua Joe 😀
I will find you, naionea uvivu kila siku kumbe ni nzuri..!?'I will find you' nimeanza nayo niko episode ya 3. So far nimeipenda!
NdioVincenzo Jr umeangalia Iron heart?
Eeeeh ndio 😎😎😎😂😂
hivi huko duniani huwa nako una uhuni wa hivi Vinnie..!?
Nzuri sanaI will find you, naionea uvivu kila siku kumbe ni nzuri..!?
I will find you ni Kali sana'I will find you' nimeanza nayo niko episode ya 3. So far nimeipenda!
Napenda movie za namna hiyo umenishawishi nichekiukisikia a confusing plot twist ndiyo kitu kama kilichofanyika humu..!🙌🏾
Mimi mwenyewe nilibaki kidogo nichanganyikiwe..!
Ni Kali sana inahusu jamaa anapewa kesi ya kumuua mtoto wake na mazingira yote yanaonesha yeye ndio mhusika, wakati yupo jela anatembelewa na shemeji yake anaambiwa mtoto wake yupo hai so anafanya mipango ya kutoka jela ili atafute ukweli utaomsaidia kujinasua kwenye kesiI will find you, naionea uvivu kila siku kumbe ni nzuri..!?
Nitaitafuta, ngoja nimalizane na High Potential na Other Black Girl.!Nzuri sana
Mpaka na wewe umesema, baaasiiiii..!🙌🏾I will find you ni Kali sana
Holiday inaisha vizuriMpaka na wewe umesema, baaasiiiii..!🙌🏾
Nikiri wazi hii ilinishindaNiliimaliza miaka Michache iliyopita , leo naianza tena