Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ni Kali sana inahusu jamaa anapewa kesi ya kumuua mtoto wake na mazingira yote yanaonesha yeye ndio mhusika, wakati yupo jela anatembelewa na shemeji yake anaambiwa mtoto wake yupo hai so anafanya mipango ya kutoka jela ili atafute ukweli utaomsaidia kujinasua kwenye kesi
Mkuu nipe link au tovuti ya kupakua movie
 
Lile zaga lenye mkong'oto wa haja limetoka. Tumewahi kuleta trailer yake humu.
1783577122332.jpeg

Scars
Screenshot_20260709-090253.png
 
Korean Series: The Husband

Hii series ni Kali sana na ni ongoing series no comedy ni serious series starring ni yule aliyecheza kwenye The Veil hanaga kazi mbovu.
Jamaa ana mgogoro na mke wake na ameomba divorce waachane ingawa kazi anayofanya boss wake ni baba mkwe wake Wakati anampango wakuachana na Mke wake bahati mbaya Mke wake anatekwa na kutakiwa atoe kiasi fulani cha fedha Tena ni fedha nyingi ili mke wake aachiwe na mtekaji. Hajakaa sawa Police wanabaini kuwa yeye ndio amehusika na huo utekaji kutokana na ushahidi unavyoonesha na ukizingatia sio kweli yeye ndio amehusika unafikiri jamaa atafanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom