Series (Special thread)

Series (Special thread)

Anayetaka Series yoyote na hana Muda wa Kuitafuta.

Nnaweza kukupatia Series yoyote kwa Bei ya Tsh: 15Elfu tu bila kujali ukubwa au Udogo wa Series unayoitafuta.

Kwa sasa nina collection ya Series 112.

Kujua list, ntumie text kwenye whatsapp

0715-240140
 
Umetisha sana....kama seriez zako zina subtittles....nijuze...maana mie bila hizo napata shida kizungu changu ni kama cha jpm
 
Mkuu

Mimi nataka series ya mwisho ya 24 hours (ya Jack Bauer). Nadhani walicheza kama episode 7 au 8 hivi.
Jack Bauer is back amecheza akiwa London Na gaidi al haraz. uko wapi Je uchukue bure
 
Katika siries zote 24 ilinifanya nikeshe wiki nzima hasa nilipofika season 3
 
Mwenye taarifa kuhusu flashforward na missing kama ziliendeleaga
 
Kwanza vipi hawa jamaa wanaocheza 24 (kiefer) au jack bouer n wenzake ndio wamemaliza 24 kwenye hiyo season 10 epsod 13 au vip? isaidieni jamani maana nailove sana.
 
Kwanza vipi hawa jamaa wanaocheza 24 (kiefer) au jack bouer n wenzake ndio wamemaliza 24 kwenye hiyo season 10 epsod 13 au vip? isaidieni jamani maana nailove sana.
Kwan imefka season 10...! Nakumbuka ni season 9 epsods 12 wakaiita live another day...so hata mie nilitegemea waendelee epsod ya 13....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom