Series (Special thread)

Series (Special thread)

Series/movies za mwenzetu nyingi huwa wanaziharibu wanapoingiza masuala ya kifamilia.. ni kweli wana huo utaratibu wa kudekezana lakini muda mwengine ni too much hasa wanapoleta hizo mambo kwenye show ya action/drama iliyochangamka, huwa inakata mood kabisa mwisho unashindwa kuendelea.
 
Wenyewe wanasema nzuri
 
Attachments

  • MV5BNTEyZGQwODctYWJjZi00NjFmLTg3YmEtMzlhNjljOGZhMWMyXkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    MV5BNTEyZGQwODctYWJjZi00NjFmLTg3YmEtMzlhNjljOGZhMWMyXkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    195.9 KB · Views: 10
Series/movies za mwenzetu nyingi huwa wanaziharibu wanapoingiza masuala ya kifamilia.. ni kweli wana huo utaratibu wa kudekezana lakini muda mwengine ni too much hasa wanapoleta hizo mambo kwenye show ya action/drama iliyochangamka, huwa inakata mood kabisa mwisho unashindwa kuendelea.
Hapo unavyosema wanaingiza mambo ya kifamiliq una maana gani?
 
Series: Shooter

Jamaa ambaye ni soldier mwenye utaalamu wa kupiga risasi masafa marefu (Sniper)aliyeamua kuacha kazi na kujikita na maisha ya kawaida na familia yake.Anaombwa kutoa msaada kutokana na uzoefu alionao wa kusaidia kuzuia msafara wa Raisi asiuliwe na bahati mbaya Raisi anauliwa na kesi anapewa yeye ndio ameua Raisi ungekuwa wewe ungefanyaje? Na bahati mbaya zaidi mazingira yote yanaonesha yeye ndio kaua Je anajitoaje kwenye hiyo kesi? Yaani kitaaluma mtoa msaada kawa msaada wa muhuaji halisia
Mafia Democracy Mr Q
 
Series: Shooter

Jamaa ambaye ni soldier mwenye utaalamu wa kupiga risasi masafa marefu ( Sniper)aliyeamua kuacha kazi na kujikita na maisha ya kawaida na familia yake.Anaombwa kutoa msaada kutokana na uzoefu alionao wa kusaidia kuzuia msafara wa Raisi asiuliwe na bahati mbaya Raisi anauliwa na kesi anapewa yeye ndio ameua Raisi ungekuwa wewe ungefanyaje? Na bahati mbaya zaidi mazingira yote yanaonesha yeye ndio kaua Je anajitoaje kwenye hiyo kesi? Yaani kitaaluma mtoa msaada kawa msaada wa muhuaji halisia
Mafia Democracy Mr Q
Hii naishi nayo muda huu
 
Hii nitaichanganya na Criminal record. Episode moja huku episode nyingine kule
Najua hutaki za kuumiza akili basi itafute inaitwa The town ya waturuki story yake ipo direct washikaji wanne wamekutana na gari lina watu wawili na wote wamekufa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police wakazichukua zile issue kumbuka hawajui zile hela za nani? Na kwanini wale watu walikuwa wamekufa sababu za kufa ni Nini? Wakakubaliana iwe Siri yao shida iliyobakia ni kwamba kwenye mji wao purchase power ni ndogo wafanyaje zile hela zisigundulike maana wote wanaishi maisha ya chini na hela walizochukua ni za kigeni
 
Series: Shooter

Jamaa ambaye ni soldier mwenye utaalamu wa kupiga risasi masafa marefu (Sniper)aliyeamua kuacha kazi na kujikita na maisha ya kawaida na familia yake.Anaombwa kutoa msaada kutokana na uzoefu alionao wa kusaidia kuzuia msafara wa Raisi asiuliwe na bahati mbaya Raisi anauliwa na kesi anapewa yeye ndio ameua Raisi ungekuwa wewe ungefanyaje? Na bahati mbaya zaidi mazingira yote yanaonesha yeye ndio kaua Je anajitoaje kwenye hiyo kesi? Yaani kitaaluma mtoa msaada kawa msaada wa muhuaji halisia
Mafia Democracy Mr Q
Ni Ile ya Jason Bourne aliye igiza bourne identity au ni Ile ya yule mwamba wa lone survivor?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom