Series (Special thread)

Series (Special thread)

images.webp

Tayari mzigo upo online, wanatoa episode kila week, na kila wakitoa episode napita nayo
 
Wakuu mnisaidie kidogo apa ipo hivi kwanini 1080p ambazo zinapatikana movie box sio quality halisi kama unazokutana nazo kwenye websites.

Kwasababu nimetokea kujionea kuwa tofauti zao ni kubwa vibaya mnoo,hii inaweza maanisha kuwa hd za moviebox sio zile zenyewe kabisa au.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom