Hizo zote sijacheki Sasa sijui ni huyo au laah! Ila huyu anaitwa Ryan Phillipe oya series ni tamu mno na story yake inaenda mbele nakukurudisha nyuma kwa baadhi ya episodes but iko poa haiboi na starring mwenye ni mnyama sana hacheki na nyani alafu anatumia akiliNi Ile ya Jason Bourne aliye igiza bourne identity au ni Ile ya yule mwamba wa lone survivor?