Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,501
- 29,215
huwa natazama uongo mwingi ndugu yangu ila huo nilinyanyua mikono..!🙌🏾Ila hiki kichwa hiki😂
huwa natazama uongo mwingi ndugu yangu ila huo nilinyanyua mikono..!🙌🏾Ila hiki kichwa hiki😂
Kuna ile umetoka kuangalia drama gani sijui, halafu unakuja kusema kuwa hata ukiwa kwenye gari unahisi kuna sniper sehemu😂huwa natazama uongo mwingi ndugu yangu ila huo nilinyanyua mikono..!🙌🏾
Wanakuja kukupa mwongozoWazee nipeni series yenye hekaheka mfano wa 24 hrs...
Hizi za sasa najaribu nashindwa kumaliza hata episode moja...
Wenu mwaminifu...
Nyakubonga.
Man on fire, xiiiOyah nipe hizi, maana Wakorea wameshindwa kazi sikuhizi.
Cheki hii The day of the Jackal, alafu Kuna xiii ni ya 2009 jamaa anapelekwa kwenye black site anafutiwa kumbukumbu anapotoka anafanya uchunguzi wa kujua yeye ni Nani na wakina nani wamehusika na hayo yote na kwanini? Nyuma ya hii Kuna Siri kubwa imejificha in short ina heka heka hakuna kupoa mwanzo mwisho ina season mbili complete, nyingine Kuna hii The prisoner hii ni ya mwaka huu mwadada mrembo askari wa kawaida anatumwa kumsindikiza mtuhumiwa aliyefungwa jela ambaye ana siku chache zimebaki za kutuoa ushahidi mahakamani bahati mbaya gari lao linavamiwa na magaidi inapelekea mtuhumiwa( Mfungwa) na yule askari wanashirikiana kupigana na wale magaidi.Wazee nipeni series yenye hekaheka mfano wa 24 hrs...
Hizi za sasa najaribu nashindwa kumaliza hata episode moja...
Wenu mwaminifu...
Nyakubonga.
Thank you bro...Cheki hii The day of the Jackal, alafu Kuna xiii ni ya 2009 jamaa anapelekwa kwenye black site anafutiwa kumbukumbu anapotoka anafanya uchunguzi wa kujua yeye ni Nani na wakina nani wamehusika na hayo yote na kwanini? Nyuma ya hii Kuna Siri kubwa imejificha in short ina heka heka hakuna kupoa mwanzo mwisho ina season mbili complete, nyingine Kuna hii The prisoner hii ni ya mwaka huu mwadada mrembo askari wa kawaida anatumwa kumsindikiza mtuhumiwa aliyefungwa jela ambaye ana siku chache zimebaki za kutuoa ushahidi mahakamani bahati mbaya gari lao linavamiwa na magaidi inapelekea mtuhumiwa( Mfungwa) na yule askari wanashirikiana kupigana na wale magaidi.
Cheki hizo mkuu ni Kali zote ni wewe tu uchague ipi ya kuanzia nayo
Thank you bro...
Jackal nimeimaliza iko vizuri...
Prisoner nimeishusha ila sijaiangalia, umenipa appetite ya kuiangalia...
Naingia kuipakua hiyo Xiii...
Asande.
Asande brother..Angalia
Condor Season 1
Bordguard
😹😹😹Kuna ile umetoka kuangalia drama gani sijui, halafu unakuja kusema kuwa hata ukiwa kwenye gari unahisi kuna sniper sehemu😂
the cleaning lady to me was the best, ila Arman alivyofariki dunia kiukweli kweli, nikashindwa tena kuitazama, yule kaka aliniuma kama vile ndugu yangu..!Kati ya NEMESIS na THE CLEANING LADY, ipi ni series nzuri zikilinganishwa?View attachment 3601121View attachment 3601120
Sina budi kuwashukuru Netflix kwa hichi kidogo walicho nipatia. Series ilikuwa tamu ya kuvutia. Sijaufrahishwa Cameroon kufa
View attachment 3601324
Mapenzi kwa mujibu wa hiyo series ndio yana establish heist yenyewe. Vinginevyo itakuwa single movieMoney Heist ila 98% ni mapenzi
Waspain walichokoawa ni nachi ili kuwafikia Wahindi
Pamoja sana nakuongezea na series nyingine inaitwa The town ya waturuki iko hivi Kuna majaa wanne katika tembea yao wanakutana na gari Lina watu wawili wameuliwa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police Siri ibaki kuwa yao wachukue zile hela kwasababu wote Wana shida kibao. Shida inakuwa hivi hawajui zile hela ni za nani? Na wale waliuliwa ni kwanini? Na kumbuka wapo kwenye mji ambao purchase power ni ndogo wanaumiza kichwa watafanyaje ili matumizi yao yasigundulike mind you hela ni za kigeni na hapo town zinatumika hela za kiuturukiThank you bro...
Jackal nimeimaliza iko vizuri...
Prisoner nimeishusha ila sijaiangalia, umenipa appetite ya kuiangalia...
Naingia kuipakua hiyo Xiii...
Asande.
Ila Hawa jamaa wana mapenzi ya kitoto sanaSina budi kuwashukuru Netflix kwa hichi kidogo walicho nipatia. Series ilikuwa tamu ya kuvutia. Sijaufrahishwa Cameroon kufa
View attachment 3601324
InterestingPamoja sana nakuongezea na series nyingine inaitwa The town ya waturuki iko hivi Kuna majaa wanne katika tembea yao wanakutana na gari Lina watu wawili wameuliwa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police Siri ibaki kuwa yao wachukue zile hela kwasababu wote Wana shida kibao. Shida inakuwa hivi hawajui zile hela ni za nani? Na wale waliuliwa ni kwanini? Na kumbuka wapo kwenye mji ambao purchase power ni ndogo wanaumiza kichwa watafanyaje ili matumizi yao yasigundulike mind you hela ni za kigeni na hapo town zinatumika hela za kiuturuki
Namkubali sana mzee mmoja humu anaitwa Johnny DoggsYoh Kiranga finally Thomas Shelby is back, this time he is going against his son duke.
tarehe 6 ina achiwa kwenye cinema, tarehe 20/3 Netflix.
View attachment 3546906
Mapenzi kwa mujibu wa hiyo series ndio yana establish heist yenyewe. Vinginevyo itakuwa single movie