Series (Special thread)

Series (Special thread)

Pamoja sana nakuongezea na series nyingine inaitwa The town ya waturuki iko hivi Kuna majaa wanne katika tembea yao wanakutana na gari Lina watu wawili wameuliwa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police Siri ibaki kuwa yao wachukue zile hela kwasababu wote Wana shida kibao. Shida inakuwa hivi hawajui zile hela ni za nani? Na wale waliuliwa ni kwanini? Na kumbuka wapo kwenye mji ambao purchase power ni ndogo wanaumiza kichwa watafanyaje ili matumizi yao yasigundulike mind you hela ni za kigeni na hapo town zinatumika hela za kiuturuki
Hii story inavutia...

Naipakua pia...

Asande brother.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom