Series (Special thread)

Series (Special thread)

Pata Kila Serie kwa Elfu15 tu, Bila kujali Idadi ya Seasons.

Tuwasiliane Whatsapp: 0715-240104

Nina collection ya 108Series.
 
Yaani kanti weiti.
Mm nataka nijue dokta atakufa au tom atamuwahi na kumuokoa. Na je president Yale madude hayatamrudia kweli??? Na wale wakora kule sijui inakuaje.

Mbona power huisemi Kama unasubiri kwa hamu
 
Mm nataka nijue dokta atakufa au tom atamuwahi na kumuokoa. Na je president Yale madude hayatamrudia kweli??? Na wale wakora kule sijui inakuaje.

Mbona power huisemi Kama unasubiri kwa hamu
Power Kaboom ndio anaisubiri sana maana ile movie wanaoigiza wana tabia mbaya
Kwakweli inabidi niirudie last ship nijikumbushe, kama naisahau hivi!
 
Kwa wale wanaopenda movies na series mpya na za kijanja. Naweza kukutumia kwa flash hard disk mahali popote ulipo. Nichek kwa namba 0762243055...angalizo sina movies za kibongo wala nigeria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom