Series (Special thread)

Guys nina mzigo wa hot & latest movies za thriller, horror, documentaries, action, si-fi, etc vile nina series nyingi tofauti tofauti kwa bei rahisi, ukitaka mzigo kwenye hard disk unapata pia. Niko dar, kama unahitaji nicheki kwa namba hiyo 0624078325.
 
Mkuu

Mimi nataka series ya mwisho ya 24 hours (ya Jack Bauer). Nadhani walicheza kama episode 7 au 8 hivi.
 
Weka list yote watu tujue kama tunanunua au vipi mkuu we vipi?
 
Do you have(1) strain(2)tyrant(3)missing (4) the event mwanzo mwisho?
Kama unazo name your price and get paid rightaway!
 
1. Blindspot season 2
2. Daredevil season 2

Unazoo?
 
One tree hill unayo my first dram series ingawa sikufanikiwa kumaliza ila inabonge la story
 
mk
Mkuu huwezi elewa series za artists kwa episode moja. Hebu maliza walau episodes mbili kwanza.








Muhimu zingatia. It's a good series.
Yenye kila ubunifu wa ancient times during Roma empire na Ottoman empire pia.
mkuu huu da vinci demons ni tamu nimeimaliza nasubiri season 4=napenda series za namna hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…