Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,360
- 176,176
Yaani alikuwa anachekesha, muoga ila wenzie wakifanya jambo yeye ndio anataka achukue credit.Ewaaaaa. Jamaaa alikua anachekesha sana. Hasa pale waende kwa wale witches waliomchukua demu wake.
Yaani alikuwa anachekesha, muoga ila wenzie wakifanya jambo yeye ndio anataka achukue credit.Ewaaaaa. Jamaaa alikua anachekesha sana. Hasa pale waende kwa wale witches waliomchukua demu wake.
Ila kwaajili ya manzi wake he was ready to risk everything. Safi sana paleYaani alikuwa anachekesha, muoga ila wenzie wakifanya jambo yeye ndio anataka achukue credit.
Kwakweli pale alinifurahisha, na ujasiri ukamjia pamoja na uoga wooote, kweli acheni tamuu iitwe tamuuIla kwaajili ya manzi wake he was ready to risk everything. Safi sana pale

Afu eti nimemsahau princess jina lakeKwakweli pale alinifurahisha, na ujasiri ukamjia pamoja na uoga wooote, kweli acheni tamuu iitwe tamuu![]()
![]()
Hata mie nimemsahau maana niliicheki kitambo kidogo, aklees pekee ndio namkumbuka jinale.Afu eti nimemsahau princess jina lake
natafuta sana seriez khs vita ya vietnam na US yaan ungeijua jina ingekuwa poa sanaaaKuna series moja inahusu vita ya Vietnam na marekani,ni kali ila nimesahau jina
thanks BOY nakuaminia sana mkuuInaitwa TOUR OF DUTYView attachment 327869
naishusha now kumbe ni ya zamani tangu 1987 zipo Season 3 nashusha zote gb 19 nimeicheck juu kwa juu You tube Pilot imenivutia sana nadhani itakuwa poa sana coz napenda sana movie za kivita za kizamani itanisogeza sogeza wakati naisubiria MY FAVOURITE SERIES game of throne na mzee wa msingi maneno kifupi nyundo TYRION LANNISTERUtaenjoy sana,huwezi kuchoka kuangalia ukishaanza,kila episode imetulia
inausu nn kiongoz ebu toa maelezo bas na ss wengne tuipakueDu hii house of card ninoma Mzigo wote umedondoka sikumoja s4
Ni torent gani naweza kudownload movies maana utorent na Vuze kama zimeblokiwa huwezi kudownload!Msaada.
Lakini unaonekana mtundu sana weweHahahaaaaa! Hata mi thijui![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana aisee, hapo unanionea kabisaaa!Lakini unaonekana mtundu sana wewe
