Hapana aisee, hapo unanionea kabisaaa![emoji85]
Inahusu nini hii?Du hii house of card ninoma Mzigo wote umedondoka sikumoja s4
Nitajionaje na nimelifumba? Mwanamke aibu ati, si tukikosa aibu utasikia "mwanamke hana aibu huyu"[emoji85]sasa mbona unaona aibu....alafu angalia jicho lako la kulia hapo ...jifute kuna ki particle
Thitakiiiiiii
We nionyeshe tu series nzuri[emoji12]Pleasee,....Taka bana mtoto mzuri...alafu mimi nakuonesha mambo mazuri wewe hutaki
We nionyeshe tu series nzuri[emoji12]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]hahahhaha...si unaona sasa hapo jicho moja umelifumba
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sijawahi kutongozwa aisee, naonaga kwenye movie tu.nishakwambia wewe mtundu wewe...Ukitongozwa unang'atang'ata vijiti na kujibanza kwenye ukuta
Sijawahi kutongozwa aisee, naonaga kwenye movie tu.
Hivi kumbe wazuri tu ndio wanatongozwa[emoji134] [emoji134] no wonder!This must be a joke...Na uzuri wote huo?
Uadiwe wapi mkuu?Ni add na mimi 0767102102
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]its official Jon Snow ndan ya nyumba kwny Game of thrones
Good newsits official Jon Snow ndan ya nyumba kwny Game of thrones