dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,032
- 11,036
kumbe imesha anza kutoka, mi nlikuwa sijui kabisaIna episodes 4 mpaka sasa nasubiri ziongezeke
kumbe imesha anza kutoka, mi nlikuwa sijui kabisaIna episodes 4 mpaka sasa nasubiri ziongezeke
Ipo sokonikumbe imesha anza kutoka, mi nlikuwa sijui kabisa
huyu si ndo yule jamaa kwenye the mummy aliyekusanya dhahabu alafu akafa kwenye pango wengine wakaja kuchukua kilaini tu
Yap, mzee ben huyo wa bahu, chacha musahuyu si ndo yule jamaa kwenye the mummy aliyekusanya dhahabu alafu akafa kwenye pango wengine wakaja kuchukua kilaini tu
Ben jau sana😃 language of the slaves
Alipiga lugha nne kudadadeki, bahu chacha musaBen jau sana😃 language of the slaves
Naam naam ndio ndio kakaKuishi kituaristi Kuna gharama zake GADDEMITI😳😳😳
View attachment 3570431
Japo sijaiona ila inaonekana ni bonge la kitu.View attachment 3571477
Unyama sanaaa, uchukue kule moviemod ipo dubbed
Very addictiveJapo sijaiona ila inaonekana ni bonge la kitu.