Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,596
- 81,043
60kKifurushi kinaanzaje?
60kKifurushi kinaanzaje?
Hivi vile vi portable WI Fi vya kubeba mfukoni malipo yake yapoje na offer zake zipoje?
Kaka hadi hivyo unaweza kutumia kwa pakeji ya 60k kuna dogo anaitwa faraja zungu kule twitter x ndio huwa anauza hizi router kuna za laki moja kuna za elfu 50 zingine elfu 85Hivi vile vi portable WI Fi vya kubeba mfukoni malipo yake yapoje na offer zake zipoje?
Shukrani sana ila Huwa najiuliza Hivi Hawa mbwa kwanini hawaleti unlimited kwenye line zetu za kawaida..!!!???Kaka hadi hivyo unaweza kutumia kwa pakeji ya 60k kuna dogo anaitwa faraja zungu kule twitter x ndio huwa anauza hizi router kuna za laki moja kuna za elfu 50 zingine elfu 85
Miyeyusho tu wazinguajiShukrani sana ila Huwa najiuliza Hivi Hawa mbwa kwanini hawaleti unlimited kwenye line zetu za kawaida..!!!???
Usijaribu kununua hivyo vidude mkuu utajutaHivi vile vi portable WI Fi vya kubeba mfukoni malipo yake yapoje na offer zake zipoje?
Nipe mkasa kamili 😁😁😁☹️☹️Usijaribu kununua hivyo vidude mkuu utajuta
Sio vyote ni vibovuUsijaribu kununua hivyo vidude mkuu utajuta
Tafuta hizi utakuja kunishukuruNipe mkasa kamili 😁😁😁☹️☹️
Tupo kakaHumu vipi mnasaka Ankara? Mpo kimya sana
Shusheni vituTupo kaka
Ninazo za ma superhero tu 😁Shusheni vitu
Dah basi ngoja niendelee na hii the hunt halafu niingize landmanNinazo za ma superhero tu 😁
Kuna series ya The boys imetoka season mpya ushaicheki, ni nzuri japokuwa ni ya superhero pia ina comedyDah basi ngoja niendelee na hii the hunt halafu niingize landman
Ile niliwahi kuangalia episodes chache kwenye season 1 mtu alivyogongwa na gari baadae nikaachana nayo. Superhero nayo subiri ijae ni Moja tu daredevil Born again. Hii hata wakileta 7th season nitatembea nayoKuna series ya The boys imetoka season mpya ushaicheki, ni nzuri japokuwa ni ya superhero pia ina comedy
Hivi hakuna taarifa yoyote ya kuwa inatoka lini season nyingine, Vincenzo Jr hauna info za daredevilIle niliwahi kuangalia episodes chache kwenye season 1 mtu alivyogongwa na gari baadae nikaachana nayo. Superhero nayo subiri ijae ni Moja tu daredevil Born again. Hii hata wakileta 7th season nitatembea nayo
Ina episodes 4 mpaka sasa nasubiri ziongezekeHivi hakuna taarifa yoyote ya kuwa inatoka lini season nyingine, Vincenzo Jr hauna info za daredevil