Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna singo moja hivi yupo kel hilson aloo sio powaa mtoto ana ziwa saa 6 aisee ile movie tamu mno

Inaitwa. Lust: A Seven Deadly Sins

Bibie alipigwa dekio kifuani aliloa na mvua😎

Seran hiki kichupa ushakicheki
photo.jpg
Lust-A-Seven-Deadly-Sins-Story-2.jpg

MWana alienjoy sana humu sema alikuja kugongewa dah! Cc Seran
 
Kuna singo moja hivi yupo kel hilson aloo sio powaa mtoto ana ziwa saa 6 aisee ile movie tamu mno

Inaitwa. Lust: A Seven Deadly Sins

Bibie alipigwa dekio kifuani aliloa na mvua😎

Seran hiki kichupa ushakicheki
Nilishaicheki ni tamu balaa🤤 na TD jakes ndio producer huwezi amini! sijui ni kwanini kina kelly wanapenda sana haya mambo, kama kelly lowland naye si haba kwenye mea culpa😝
 
View attachment 3561360
Hivi Depal ukowapi? Yani huyu jules ana hasira na kimmie, uncle norman naye anataka kuwasha moto kwa mallory si unakumbuka balaa lake la season uno? Sijapenda ilivyoishaa😫
Niko hapa 😂😂
Haikutakiwa kuisha kizembe vile unless kuna S3 itakuja.. me nataka Jules ajue nani alimsukuma Glen afu tuwe na vita mpya😂

Nataka Roy aendelee na mams ake Felicia mpk siku mke wa ndoa Mallory awachinje 😂😂

#This is chess and you still playing checkers.. checkmate MF 😂😂 watupe s3 bana
 
Depal ulikuwa wapi jana nlikuwa nakutafuta tule pilau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom