Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wadau msaada kwenye tuta
mie uwa niki2mia site ya o2tvseries kupakua muv uwa inatoka na quality mbovu labda ni minimize screen ndo naona inaonekana poa ila kwa full screen uwa inaonekana vibaya nifanyaje?
iyo o2tvseres hata kwenye simu bado ina quality mbaya. tumia toxicwap.com ni nzuri kwa simu hata kwenye pc sio mbaya sana. ila mwisho wa matatizo ni torrents
 
Hallo Wana thread ya Series.

Nataka kuanzishaa group kwa ajili ya Mambo ya Series tu Jamani. "Strictly Series Only" atakayepost nje ya Topic itabid aengiliwe. Sawa si sawa!??

Nitumie Nambako kwenye hii number via Whatsapp ukisema "Add me to group la Series"

My number: 0715-240140
Sasa mkuu ili kuboresha group kwann tusifanye na MOVIES za Hollywood pia zihusike humo maana ukisema series strictly nahc km group halitakuwa active kivile kama ukiongeza na movies...#suggestion tho!
 
Kuna kitu kimeshamili sahivi naona series nyingi sasa zina aidha uchawi au ushetani au za mazombi hii sijui inatafsiri ipi mfano
Legends of tomorrow, shannara chronicles,Lucifer, walking dead nk
mkuu mimi ndizo nazipenda za hivyo,kama hiyo shannara chronocles nzuri kweli.naomba list za series zenye uchawi uchawi
 
Nimeiona hii lakini hawajaconfirm tarehe lakini itakuwa kati ya mwishoni mwa mwaka huu au mwanzoni mwa 2017
Sijui ka itavutia sana hasa baada ya romours za u gay wa w.Miller (Michael Scofield) kutokukanushwa ni mtizamo tu!
Prison break niliipenda,nikahifadhi kwenye pc,ila niliposikia jamaa in shoga nikaifuta mda huo huo,maana ilinichefua.
 
Prison break niliipenda,nikahifadhi kwenye pc,ila niliposikia jamaa in shoga nikaifuta mda huo huo,maana ilinichefua.

But mpaka sasa haileweki ka ni shoga Kweli maana kunasehemu anawasaport na kunasehemu anakataa he is not a gay
 
Sasa mkuu ili kuboresha group kwann tusifanye na MOVIES za Hollywood pia zihusike humo maana ukisema series strictly nahc km group halitakuwa active kivile kama ukiongeza na movies...#suggestion tho!

Yaaaa. Ni Idea nzuri tushakubaliana kwenye Group tayar. Karibuni Wadau.
 
ImageUploadedByJamiiForums1454576403.825690.jpg


Jipatie hii Library ya Movie kwa Bei ya Ofa yenye 3yrs Warrant.
1000GB.

Bei: 169,999/- tu
Bei ya Sokoni Tsh: 190,000/-

From EBay.

Whatsapp: 0715-240140
 
%75 ya ma actors Ulaya ni ma gay.
Hata wa transporter?au vin diesel au David Myer sema mashoga wapo aslimia ndogo siyo 75% Nayawezekana ukiwa na movie ya kishoga unauza sana ulaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom