Series (Special thread)

Series (Special thread)

Halafu brand nyingi za Tv zinazingua sana kucheza 1080 na ikikubali basi unakuta ni format ya MP4

Ila MKV imekuwa nadra sana ila Hisense niliwahi kujaribu ika play fresh
Upo sawa Kuna muvi ukiishusha kwa 1080 kwenye tv Ina play ila unakuta mtu amekuwa mkubwa kwa kuvutika kwenda juu. Ukirekebisha fit to screen anakuwa kama amebonyezwa ili mradi tu iwe tafrani
 
Haha nyinyi c mnasema just anime, hyo anime ni top 3 ya saddest movie ever created
Movie ya huzuni kuangalia na hapo sikuambiwa kabla ilikua Miracle in cell no7 Turkish version nililia niliumia ilinikaa kichwani wiki nzima, ila niliwahi pia kucheki LION na THE JUNGLE no zinaumiza sana hasa ukizingatia ni true story.
 
Nilijitia kiherehere kuangalia movie ya Taraj Straw nilikuwa nalia kama mwehu😪 wa kunibembeleza ndio hayupo 😫
Straw niliiangalia ila kawaida sana sielewi watu mnalia kipande kipi walai, mimi naona Acrimony iko far better than Straw na Acrimony nimeiweka one of my top fav movie of all the time.
 
Scars hi shelter mwamba Jason amegeuka kuwa John wick na Bourne at the same time plus Statham himself. Wasipo tuletea part two watakuwa hawajatutendea haki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom