Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hellfire ya wazee😬
Yeah ya Mzee mmoja hivi ambaye ni retire soldier na roho ngumu kama Sisu

Alienda kuweka utulivu kwenye mji mdogo ambao ulikuwa umeharibiwa na familia moja inayo run biashara za madawa.

End of the day anakuja kugundua aliyechora ramani ya kuchomeshwa vitani mpaka kupelekea kupoteza wanajeshi wengi kumbe ndio Co wa mji.
 
Na hii ngoja niishushe
 
Niliangalia mpaka mwisho hata yule askari anayetumika na wauza ngada walimuua wenyewe! Ila ni ya wazee😅
 
Screenshot_20260303-135051.png

Nimeichukua huyu mzee kwa quality hii
 
Niliangalia mpaka mwisho hata yule askari anayetumika na wauza ngada walimuua wenyewe! Ila ni ya wazee😅
skari alikuwa mpuuzi licha ya kujua mauaji yalifanywa na mtoto wa boss lakini bado akataka kumkabidhisha kwa ma nyemela wa unga wammalize

Lakini mbeleni Ofsa ni kama akili zilianza kumjia nahisi alifeel guilty ila ndio ikawa too late kwake.
 
4

43inch TV inatosha ku display hiyo 720 vizuri kabisa 😁😁😁 Kuna movies kama hiyo shelter nimeichukua 1080 so sio Kila movie nitaichukua kwa quality hii au ile
Halafu brand nyingi za Tv zinazingua sana kucheza 1080 na ikikubali basi unakuta ni format ya MP4

Ila MKV imekuwa nadra sana ila Hisense niliwahi kujaribu ika play fresh
 
skari alikuwa mpuuzi licha ya kujua mauaji yalifanywa na mtoto wa boss lakini bado akataka kumkabidhisha kwa ma nyemela wa unga wammalize

Lakini mbeleni Ofsa ni kama akili zilianza kumjia nahisi alifeel guilty ila ndio ikawa too late kwake.
Alijichanganya tangu mwanzo alipoanza kumfatilia huyo jamaa, jamaa naye kumbe kamshtukia mapema sana, ndio maana akaishia kuliwa kichwa mwenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom