Series (Special thread)

Series (Special thread)

‎Kama hujawahi kuiona itafute enjoy au uchanganyikiwe😁 kama ushaiona si mbaya kuirudia Carleen Mr Q Vincenzo Jr
Seran Depal Angel Nylon

TENET (sci-fi) 2020

‎Ni movie inayohusu technologia inayoweza kurudisha watu na vitu nyuma
‎Huku ikienda tofauti na kanuni ya Cause and effect na kuwa effect inaanza kisha cause ila bado iki fuata murphys law "what happend happen" hivyo hakuna kubadilisha kitu kila unachofanya ulipaswa kufanya

‎The protagonist anapewa mission ya kutafuta ni nani anayesambaza risasi zinazoweza kurudi nyuma ya muda (inverted bullet) pia kuzuia vita atakayokuja itayoweza kuangamiza dunia nzima

‎Ni movie nzuri kama unapenda movie za sci-fi, ila inahitaji utulivu zaidi na unaangalia zaidi ya mara moja maana inachanganya, ila kama uliangalia series ya dark ukaelewa na kuipenda hii pia utaelewa tu
Dah Tenet bhana hiyo physics inagoma inachanganya mno, mara unakimbizwa na gari linalorudi nyuma nyuma, wanajeshi wanapigana vita huku wanarudi nyuma. Yani katikat ya mapigano badala ya kukwepa risasi inayotoka kwenye bunduki unakuwa unakwepa risasi inayorudi kwenye bunduki. Alooo🙌watu wanajua kuumiza vichwa kutengeneza idea
 
Christopher Nolan ndio kazi zake hzo ana 1. Inception 2. Memento 3. Insonmia 3. Interstellar 4. Oppenheimer 5. Dark night 6. The prestige n.k jamaa anajua sana
 
‎Kama hujawahi kuiona itafute enjoy au uchanganyikiwe😁 kama ushaiona si mbaya kuirudia Carleen Mr Q Vincenzo Jr
Seran Depal Angel Nylon

TENET (sci-fi) 2020

‎Ni movie inayohusu technologia inayoweza kurudisha watu na vitu nyuma
‎Huku ikienda tofauti na kanuni ya Cause and effect na kuwa effect inaanza kisha cause ila bado iki fuata murphys law "what happend happen" hivyo hakuna kubadilisha kitu kila unachofanya ulipaswa kufanya

‎The protagonist anapewa mission ya kutafuta ni nani anayesambaza risasi zinazoweza kurudi nyuma ya muda (inverted bullet) pia kuzuia vita atakayokuja itayoweza kuangamiza dunia nzima

‎Ni movie nzuri kama unapenda movie za sci-fi, ila inahitaji utulivu zaidi na unaangalia zaidi ya mara moja maana inachanganya, ila kama uliangalia series ya dark ukaelewa na kuipenda hii pia utaelewa tu
Ni kama mambo ya kwenye The Great Flood? Sitaki kuchoka bana 😂
 
Huchoki Unachangamsha kichwa😅, kuna moja inaitwa Memento niliangalia mpaka mwisho ila sikuelewa yani matukio yamewekwa tofauti haijulikani mwisho ni wapi mwanzo ni wapi, hivyo nikaacha kama siku mbilli kisha nika google halafu nikaingalia tena 😁
 
Daah! 😁 muda wa kuangalia movie isiyoeleweka si nisikilize mziki hadi usingizi uje?
Unakuwa unapata utamu gani kuangalia kitu hakieleweki? Au kutokueleweka ndio utamu wenyewe
 
Attachments

  • FB_IMG_1768548565583.jpg
    FB_IMG_1768548565583.jpg
    100.4 KB · Views: 8
View attachment 3532070hii part karibia wapenda movie wote wamefurahi, nmepita uko IG naona wengine wamerecord kabisa wanapiga kelele kwa furaha

Hii Power ni moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥
Samahani naomba niambie vizuri tafadhali…!
niliacha kutazama Power baada ya Ghost kufa..!
apostle kuna muujiza huku, nini kimetokea..!??
 
Kwanza jua power zipo book 4
Power book 1 hii ndo yupo ghost ambaye mwishon wa season anauliwa na mtoto wake Tariq

Power book 2(Ghost) hii inamuhusu Tariq nae ameamua kuanza kufanya ishu za Drugs

Power book3 ( Raising Kanan) hii inamuhusu Kanan(50 cent) life lake tangu utoto na familia yake kabla hajawa kingpin kwenye drugs na kuwafundisha wakina ghost na Tommy (mchizi wake ghost)

Power book4(Force) hii sasa inamuhusu Tommy baada ya Ghost kufa akaamua kuhama kutoka New York maana alikuwa most wanted akahamia Chicago kuanza tena harakati zake za drugs, apo pichani ni Tariq alipigiwa simu ya msaada kutoka kwa Tommy aje amsaidie maana walikuwa wanaenda kwenye street war ili ampige tafu akaomba aje kutoka NYC to Chi Town apo ndo kafika kukinukisha

Iko kipande juu watu walifurahi maana kwanza wengi walimiss kumuona Tariq pia apo ilikuwa Tommy afe maana alikuwa amezingirwa, hii nmesoma baadhi ya comment kwenye post za iko kipande
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom