Series (Special thread)

As far as I know...season 3 was and supposed to be season finale...

Sidhani kama itaendelea tena...
Kwa vile ilivyoisha lazima ije season 4. Yaani mtoto wao kaokota tena yai mweee
 
we umeiona tu kwa matukio
ila story line hujailewa siku nyingne sema sijaielewa kabisa na huwezi kuielewa ikiwa seriez zenye mfumo wa kingdom huna mzuka navyo
kwa hiyo sema wewe haijakuvutia lkn usiseme kuwa ni ya kawaida sana si kwerii

Uko sawa mkuu
Kuthibitisha hilo aangalie watching rates zake kisha ataje ni series imewahi fikisha hiyo rate ukitoa breaking bad!
 
we umeiona tu kwa matukio
ila story line hujailewa siku nyingne sema sijaielewa kabisa na huwezi kuielewa ikiwa seriez zenye mfumo wa kingdom huna mzuka navyo
kwa hiyo sema wewe haijakuvutia lkn usiseme kuwa ni ya kawaida sana si kwerii
G.O.T ndio best of the best ikifuatiwa na breaking bad.....Mtu anayesema ni ya kawaida au ni mbaya namshangaa
 
mkuu hapo mbona kama umeniacha ubungo,hiyo empire ipo hadi season 5 au ni empire gani unazungumzia maana mimi nimeishia season 2 episod ya 10 pale kwenye ku vote kura na nimejaribu kucheki bado hawajatoa season ya 3
Hapa wanaizungumzia Person of interest wala sio Empire ndugu
Sio Empire (unless kama niliandika kimakosa) na wala sio Person of Interest bali ni SUITS... ni legal drama about one bright college dropout kid (wakati huo) aitwae Mike Ross. Huyu dogo alibebeshwa mzigo wa ganja kwenye briefcase na mshikaji wake kumbe ulikuwa ni mtego! So, wakati anawakimbia polisi akajikuta anaingia kwenye interview room ambako one Law Firm ilikuwa inatafuta Law Associate from Harvard.

Katika kumuokoa, Mike Ross akaingizwa kwenye chumba maalum ambako alikutana na Harvey Spectre... na kwenye hiyo interview alikuwa anatafutwa Law Associate wa huyo Harvey. Harvey baada ya ku-chat na Mike kwa dakika chache akagundua dogo yupo bright sana na mkali wa kumeza. Wakati wote, main goal ya Harvey ni kushinda kesi na alipokutana na drug dealer ambae ni very bright akaona Mike ndie anayemfaa hata kama haku-graduate!

So, hii Season 5 ninayoizungumzia ni kwamba five years later, kimenuka kwamba Mike ni Fraud... not only sio Havard Graduate lakini haja-graduate chuo chochote kile duniani! Kama unamkumbuka Mrs. Jack Bauer wa kwenye 24 ndie aliyekinukisha. "Mrs. Bauer" ana bifu na Harvey kwahiyo ni ama Mike amtose Harvey kwamba ni yeye ndie alimwajiri wakati anafahamu sio mwanasheria; or else, akaozee jela! Huyu Harvey ni best Lawyer in NY, ukimchanganya na Mike basi hakuna kinachoshindikana lakini kwa Mrs. Bauer wamebaki kama piritoni!
 
G.O.T ndio best of the best ikifuatiwa na breaking bad.....Mtu anayesema ni ya kawaida au ni mbaya namshangaa
Hizi medieval era dramas napenda sana movie na series zake........nimecheki Spartacus,once upon a time na vikings naona bado sana kwa GOT......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…