Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
nilikuwa nai ignore, ni ya moto kumbe..!?STEAL ni hatari na nusu 🔥
nilikuwa nai ignore, ni ya moto kumbe..!?STEAL ni hatari na nusu 🔥
Ahsante kipenzi nitaitafuta pia..!Tatizo mie napenda movies lkn chanzo changu ni Netflix tu. Kama movie haipo Netflix basi nishaikosa 🥲
Angalia na Train dreams. Nzuri sana sana
Ni nzuri sana, kuanzia character ni wazuri na story pia nzuri, download yenye 1080nilikuwa nai ignore, ni ya moto kumbe..!?
STEAL ni hatari na nusu 🔥
Tamaa ivo, mie najiita mroho wa movie. Sijui niangalie ipi niache ipi. Huko Netflix ndio kunatia wazimu.Ahsante kipenzi nitaitafuta pia..!
tamaa ya movie itaniua..!🙌🏾
on it ndugu yangu..!Ni nzuri sana, kuanzia character ni wazuri na story pia nzuri, download yenye 1080
🔥🔥Tamaa ivo, mie najiita mroho wa movie. Sijui niangalie ipi niache ipi. Huko Netflix ndio kunatia wazimu.
Saivi nimeingiwa na wazimu wa documentaries. Jana niliangalia moja inaitwa kidnapping Elizabeth Smart.
Kwenye upande wa documentary NETFLIX wameshindikanaTamaa ivo, mie najiita mroho wa movie. Sijui niangalie ipi niache ipi. Huko Netflix ndio kunatia wazimu.
Saivi nimeingiwa na wazimu wa documentaries. Jana niliangalia moja inaitwa kidnapping Elizabeth Smart.
Alikuja kuwa mtu kazi kweli kweliPastor Gabriel maisha ya uchungaji yalimshinda 🤣🤣🤣😂
Niko S4, Ep 8… sioni Dante na McCall wakifanya jambo nalolitamani 😁😁Delaila
Oyaaaah 😃Better call Sual mzee..!?
una hakika hiyo siyo ya kichina..!?
tuwekee link mkuu tuipakueSingle Movie: THE PATIENT 2025
View attachment 3533753
Jamaa akiwa amelazwa hospital anashangaa anaitwa jina ambalo yeye anajua si lake lakini ndio inajulikana ndio jina lake hajakaa sawa anashangaa pia anaambiwa mke wako atakuja Leo kukuona wakati yeye anajua Hana mke na hajawahi kuoa ni noma Sana ukitaka kujua Nini kitajili usikose kucheki hii movie
Mkuu nenda kwenye app au website za movie utaikutatuwekee link mkuu tuipakue
😃😃😃😃Niko S4, Ep 8… sioni Dante na McCall wakifanya jambo nalolitamani 😁😁
Kama unapenda drama ibebe hakikisha umeshiba fresh ukiweka mawazo itakushinda hiiWakuu kuna waliongalia Pluribus nafikiria niichukue ila kuna watu wansema inaboa
View attachment 3534939
Unaenjoy anavyosimlia? Mi ananikata steam kwakweli😅STEAL ni hatari na nusu 🔥