Series (Special thread)

Series (Special thread)

Vincenzo Jr umeiona Sinners nominations za tuzo za oscar, inazo nyingi mno, mi nilijua hii movie watu wanasema ni mbaya ila itakuja kufanya maajabu ina nomination

Best Picture
Best Director
Best Actor in a Leading Role: Michael B. Jordan
Best Actor in a Supporting Role: Delroy Lindo
Best Actress in a Supporting Role: Wunmi Musaku
Best Writing (Original Screenplay)
Best Casting
Best Cinematography
Best Costume Design
Best Film Editing
Best Makeup and Hairstyling
Best Original Score
Best Original Song: "I Lied to You"
Best Sound
Best Visual Effects
Hiki chuma kizuri sana kuanzia story tu mtazamaji unapenda na kile kipande mwanetu alivyompeleka yule bibie magetoni kunyonya pale tulivyokuwa cinema fuli shangwe aisee nikazani bange imenipanda kichwani kumbe ukumbi mzima unashangilia na vile vipande vya kutisha vinaogopesha sana aisee 😀 wale vampaya sio powa
 
Vincenzo Jr umeiona Sinners nominations za tuzo za oscar, inazo nyingi mno, mi nilijua hii movie watu wanasema ni mbaya ila itakuja kufanya maajabu ina nomination

Best Picture
Best Director
Best Actor in a Leading Role: Michael B. Jordan
Best Actor in a Supporting Role: Delroy Lindo
Best Actress in a Supporting Role: Wunmi Musaku
Best Writing (Original Screenplay)
Best Casting
Best Cinematography
Best Costume Design
Best Film Editing
Best Makeup and Hairstyling
Best Original Score
Best Original Song: "I Lied to You"
Best Sound
Best Visual Effects
Imevunja rekodi
 
Pastor Gabriel maisha ya uchungaji yalimshinda 🤣🤣🤣😂
 
Attachments

  • 20260124_121833.jpg
    20260124_121833.jpg
    51.2 KB · Views: 7
  • 20260124_121835.jpg
    20260124_121835.jpg
    46.9 KB · Views: 6
1. The prestige
Wana magicians wawili wakiwa wanaharibiana kazi na pia kutafuta ni trick gani itakuwa nzuri zaadi kwa watazamaji

2. Dark knight, hii ni story ya kwenye comics za Dc, inahusu batman na the joker

3.Interstellar nahisi utakuwa ushaiona
4. Isonmia sijawahi kuiona ila ni nzuri

5. Inception,
Inahusu kundi la watu wenye ujuzi wa kuingia kwenye ndoto yako na kukupa wazo au kuchukua siri ulizoficha bila wewe kujua

oppenheimer mi naona ni nzuri tu inaelezea story ya oppenheimer na project nzima ya los almos vizuri
Thanks kwa analysis nzuri.. interstellar niliicheki, aisee sikutamani iishe.

Nitashusha nianze kuangalia moja moja!
 
1. The prestige
Wana magicians wawili wakiwa wanaharibiana kazi na pia kutafuta ni trick gani itakuwa nzuri zaadi kwa watazamaji

2. Dark knight, hii ni story ya kwenye comics za Dc, inahusu batman na the joker

3.Interstellar nahisi utakuwa ushaiona
4. Isonmia sijawahi kuiona ila ni nzuri

5. Inception,
Inahusu kundi la watu wenye ujuzi wa kuingia kwenye ndoto yako na kukupa wazo au kuchukua siri ulizoficha bila wewe kujua

oppenheimer mi naona ni nzuri tu inaelezea story ya oppenheimer na project nzima ya los almos vizuri
Memento niliivutia bange nikaelewa story the prestige imejaa watoto wazuri sio powa
 
🔥🔥🔥🔥🔥
one of the BEST nakubaliana na wewe, mimi huwa siwezi rudia movie ila hii niliirudia na ajabu nikawa ‘thrilled’ again..!!
kwa ambaye hajaitazama asiikose..!
Tatizo mie napenda movies lkn chanzo changu ni Netflix tu. Kama movie haipo Netflix basi nishaikosa 🥲
Angalia na Train dreams. Nzuri sana sana
 
Single Movie: THE PATIENT 2025
MV5BYWZkODM3ZDEtNDY2NS00MjM4LWE1YTMtOTVhMWQ5YzM2NGQxXkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg

Jamaa akiwa amelazwa hospital anashangaa anaitwa jina ambalo yeye anajua si lake lakini ndio inajulikana ndio jina lake hajakaa sawa anashangaa pia anaambiwa mke wako atakuja Leo kukuona wakati yeye anajua Hana mke na hajawahi kuoa ni noma Sana ukitaka kujua Nini kitajili usikose kucheki hii movie
 
Single Movie: THE PATIENT 2025
View attachment 3533753

Jamaa akiwa amelazwa hospital anashangaa anaitwa jina ambalo yeye anajua si lake lakini ndio inajulikana ndio jina lake hajakaa sawa anashangaa pia anaambiwa mke wako atakuja Leo kukuona wakati yeye anajua Hana mke na hajawahi kuoa ni noma Sana ukitaka kujua Nini kitajili usikose kucheki hii movie
Ngoja niidownload
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom