Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
Ni ya kusimulia tena?Unaenjoy anavyosimlia? Mi ananikata steam kwakweli😅
Ni ya kusimulia tena?Unaenjoy anavyosimlia? Mi ananikata steam kwakweli😅
Mi niliyoangalia mtu anasimlia mwanzo mwisho japo wakiongea anakaa kimya sasa sijui ndio nini! Alikuwa ananikata mudi kishenz😅Ni ya kusimulia tena?
Umeshamaliza kuangalia zilizotoka?series kali mpya mpaka january inakata ,pako kimya
Naona mpaka episode 6 itoke mbali balaa, yaani Roxańa kanikwaza..!🙌🏾The Nigth Manager Season 2 kali sana, ipo Ep ya 5
Bora umenialert 😃Mi niliyoangalia mtu anasimlia mwanzo mwisho japo wakiongea anakaa kimya sasa sijui ndio nini! Alikuwa ananikata mudi kishenz😅
Bado tunasubiri series kali chifuUmeshamaliza kuangalia zilizotoka?
Ni kali kaiangalie tuu, nimependa hii heist ilivyochezaBora umenialert 😃
Hahaha sawaBado tunasubiri series kali chifu
Nipo EP ya 1 vipi mwanetu Loki ajapata bahati ya demu kama ilivyokuwa season 1?The Nigth Manager Season 2 kali sana, ipo Ep ya 5
Wanasimulia vipi jamani, mambo ya Plaribus hakuna humu. Series nzuri kila idaraNi ya kusimulia tena?
Inaonekana nzuri ngoja niishushe
Kipengele itakuwa lugha tu ila zaga linonekana litakuwa powa
View: https://youtu.be/L_xcb8YRUe0?si=q9EjV_lnNDbwybXC
Iyo series ni kali sana nilikua naangalia hadi siku nikitoka kanisani SabatoHouse Of David🔥
Average chifuu sio kali