Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwanza jua power zipo book 4
Power book 1 hii ndo yupo ghost ambaye mwishon wa season anauliwa na mtoto wake Tariq

Power book 2(Ghost) hii inamuhusu Tariq nae ameamua kuanza kufanya ishu za Drugs

Power book3 ( Raising Kanan) hii inamuhusu Kanan(50 cent) life lake tangu utoto na familia yake kabla hajawa kingpin kwenye drugs na kuwafundisha wakina ghost na Tommy (mchizi wake ghost)

Power book4(Force) hii sasa inamuhusu Tommy baada ya Ghost kufa akaamua kuhama kutoka New York maana alikuwa most wanted akahamia Chicago kuanza tena harakati zake za drugs, apo pichani ni Tariq alipigiwa simu ya msaada kutoka kwa Tommy aje amsaidie maana walikuwa wanaenda kwenye street war ili ampige tafu akaomba aje kutoka NYC to Chi Town apo ndo kafika kukinukisha

Iko kipande juu watu walifurahi maana kwanza wengi walimiss kumuona Tariq pia apo ilikuwa Tommy afe maana alikuwa amezingirwa, hii nmesoma baadhi ya comment kwenye post za iko kipande
ahsante kwa maelezo mazuri ndugu yangu..!
Yes kuhusu hizo Books naelewa wala hakuna shaka..

ila toka nilivyomalizana na Power Book II sikuendelea nayo tena, sababu ya Ghost kutolewa na pia Kanan was not my fav..!

at least tommy was my fav na madawa yake anayokula na his anger issues, japo sasa ile mood ya Power ilikuwa ishaondoka..’

nilivyoona comment yako I thought Ghost amekuwa resurrected walaqhi ningerudi kutazama tena,

but this has been appreciated mzee mwenzangu..!
 
You're welcome Lady...

Hii series ni kali mno itafute hii Force ni kali sana lakini ata iyo ya Kanan ni nzuri pia umo ndani kuna watu wamepinda sana kuanzia Mama yake Kanan sio mchezo yaani ni gangsters kweli kweli...

Kama ghost wakitaka kumrudisha nahisi watatumia hii book 3 Raising Kanan..
 
Kwanza jua power zipo book 4
Power book 1 hii ndo yupo ghost ambaye mwishon wa season anauliwa na mtoto wake Tariq

Power book 2(Ghost) hii inamuhusu Tariq nae ameamua kuanza kufanya ishu za Drugs

Power book3 ( Raising Kanan) hii inamuhusu Kanan(50 cent) life lake tangu utoto na familia yake kabla hajawa kingpin kwenye drugs na kuwafundisha wakina ghost na Tommy (mchizi wake ghost)

Power book4(Force) hii sasa inamuhusu Tommy baada ya Ghost kufa akaamua kuhama kutoka New York maana alikuwa most wanted akahamia Chicago kuanza tena harakati zake za drugs, apo pichani ni Tariq alipigiwa simu ya msaada kutoka kwa Tommy aje amsaidie maana walikuwa wanaenda kwenye street war ili ampige tafu akaomba aje kutoka NYC to Chi Town apo ndo kafika kukinukisha

Iko kipande juu watu walifurahi maana kwanza wengi walimiss kumuona Tariq pia apo ilikuwa Tommy afe maana alikuwa amezingirwa, hii nmesoma baadhi ya comment kwenye post za iko kipande
Na kuna POWER:ORIGIN hii itakua inawahusu story ya GHOST na TOMMY tangu wakiwa chuo wanaanza harakati za madawa
 
Attachments

  • Screenshot_20260121_095358_Instagram.jpg
    Screenshot_20260121_095358_Instagram.jpg
    162.7 KB · Views: 11

Similar Discussions

Back
Top Bottom