Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,039
16 pro max 😩Infinix gani
16 pro max 😩Infinix gani
🤣🤣Unaweza heka heka lakini...
hahaha...
Sitaki za maneno utanishinda, nataka face to face, one on one...
Sina maneno ya kushindana,utanishinda...🤣🤣
Tuanze na maneno kwanza, tupate mshindi wake..
Si ndio na Lakini sasa msichelewe kuja kutuachanisha 😂😂unataka mtu hata akuguse tu uanze nae 😁
Unataka kunizamisha baharini au 😂Sina maneno ya kushindana,utanishinda...
Kama ni face to face,bring it on...
Ngoja kwanza nikasome kamusi, ndiyo nije nishindane kwa maneno...Unataka kunizamisha baharini au 😂
Wakishua 😂😂Ngoja kwanza nikasome kamusi, ndiyo nije nishindane kwa maneno...
Nitakubariki...
Usijali mi ntakuwa refa, ntakuwa nawaachanisha kwa kumshika mkono mpinzani ili upate advantage ya kurusha ngumi mbili tatu 😁Si ndio na Lakini sasa msichelewe kuja kutuachanisha 😂😂
Kuja kigamboni chapu 😎Naona una macho ya kuona hadi kesho. Pigia Mtume Paulo makofii
Nimechoka leo
Natafuta wa kumpunguzia uchovu
Nimemjaribu Smart911 kakaza
Mxiiiew 😁😁
Dah!! Futa kauli yako...Wakishua 😂😂
Nenda usikawie 🕺
Jua Kali hadi vichwa vinauma January mbaya sana hii chipsi yai tuna uziwa afu tatuKwa Yesu Kristo, maendeleo yako?
Kigamboni jua linawaka?
Kwani chips yai ni sh ngapi eneo la kawaida? Nmeizoea bei ya 3000. Kavu 2000… nikikuta sehemu wanauza 2500 nashtuka 😂😂😂Jua Kali hadi vichwa vinauma January mbaya sana hii chipsi yai tuna uziwa afu tatu
Vina mahusiano gani na ushua wako 😁Dah!! Futa kauli yako...
Mbona wewe una dimples...
Nikukute hapo NavyKuja kigamboni chapu 😎
🤣🤣 Safiii,, we unajuaa mambo yanavyoendagaUsijali mi ntakuwa refa, ntakuwa nawaachanisha kwa kumshika mkono mpinzani ili upate advantage ya kurusha ngumi mbili tatu 😁
Hahaha...Naona kamwili kanakuwasha...Vina mahusiano gani na ushua wako 😁
Wakishua unataka kunibadilishia mada!! We hangaika tu 🤣🤣Hahaha...Naona kamwili kanakuwasha...
Dah!! 😀Naona unanitafutia lawama... Kweli mwili unakuwasha washa...Wakishua unataka kunibadilishia mada!! We hangaika tu 🤣🤣