Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,954
- 95,351
We ni wa kupiga 😁Dah!! 😀Naona unanitafutia lawama... Kweli mwili unakuwasha washa...
NIlishaimaliza siku mingi, Queen Latifa akipewa assist na Dante. Bila kumshahau jamaa wa ku hack
Jamaa wa kuhack siwezi kuishi bila yeye, nikukute maeneoNIlishaimaliza siku mingi, Queen Latifa akipewa assist na Dante. Bila kumshahau jamaa wa ku hack
Mel hawezi kukuacha salamaJamaa wa kuhack siwezi kuishi bila yeye, nikukute maeneo
Long time no 🍷🍷🤣
So imeishia S5 tu eheee
Japo nimeona infinix hot 60 pro+ bado nasema ni simu nzuri tu kwakuwa Mimi mwenyewe sipendi simu Kila baada y saa 5 za matumizi initake nichake Tena halafu niiite simu hiyo Kali.16 pro max 😩
Hapa iphone user mnakaribishwa kupiga vijembe16 pro max 😩
Huku kigamboni tulikuwa tuna uziwa afu mbili viazi yai vinajaa kibaoKwani chips yai ni sh ngapi eneo la kawaida? Nmeizoea bei ya 3000. Kavu 2000… nikikuta sehemu wanauza 2500 nashtuka 😂😂😂
😀😃😀😀AiseeNikukute hapo Navy
Nikuzamishe baharini 😂
Naomba link ya hii websiteLeo nipo naongeza nyingine might manager hivyo basi weekend hii ni zero movement ni ku watch tuView attachment 3530425
View attachment 3530426
Wewe ni wa kugonga...We ni wa kupiga 😁
Inaonekana Wa spain wanapenda sana Ngono, Hakuna Ep inapita bila midinyoTunaosubiri muendelezo unspeakable sins jamani mi nimeipenda![]()
Ni ya moto sana mzee..🔥Inaonekana Wa spain wanapenda sana Ngono, Hakuna Ep inapita bila midinyo
Naiangalia hapa iko hot hot 🔥
Mambo yangu pendwa haya 😎Ni ya moto sana mzee..🔥
Aisee usiombe ukawa mwenyewe, utachomwa kikundi kimoja na waigizaji😅Mambo yangu pendwa haya 😎
Kazi kali, main actors wame kichafua mbaya.Naiangalia hapa iko hot hot 🔥
Hii hapa MoviesMod | Movies Mod 2025, MoviesMod Official, MoviesMod.cardsNaomba link ya hii website
Unaijua friend with benefits?Aisee usiombe ukawa mwenyewe, utachomwa kikundi kimoja na waigizaji😅