Series (Special thread)

Series (Special thread)

Better call Sual mzee..!?
una hakika hiyo siyo ya kichina..!?
Sija extract file bado nitaketa mrejesho ila site niliko ichukua nahisi inasimamiwa na wahindi sasa kwenye kuandika itakuwa walikosea ila series ni yenyewe 😁😁😁 nitaleta mrejesho
 
Ongeza tu kwenye list, wewe na ndugu yako Angel Nylon list zenu nahisi zinajaza page kumi za paper za A4 😅
😂😂😂😂
na nina hii hapa trailer yake tu inafurahisha balaa, issa must watch..!
28 January, mzigo utakuwa hewani..!
IMG_4472.jpeg
 
😅 Alafu kachukua season mbili full, asisahau kutupa mrejesho huenda ya kichina ni nzuri zaidi 😁
😂😂😂😂
nimecheka balaa, wachina wazee wa copy balaa, kina Doir na Balenciag..!
Sija extract file bado nitaketa mrejesho ila site niliko ichukua nahisi inasimamiwa na wahindi sasa kwenye kuandika itakuwa walikosea ila series ni yenyewe 😁😁😁 nitaleta mrejesho
😂😂😂
wahindi ni wehu..!
 
Nimerudi kwenye site ku search wameleta hivyo nikichukua hiyo ya kulia nikianza kuangalia nitaleta feedback
Screenshot_20260116-122532.png
 
Pia nimejaribu kufanya kama nataka kui download nimekuta imeandikwa sual 😁😁 I hope itakuwa yenyewe
Screenshot_20260116-122911.png
 
Seran Dr. Mariposa Carleen Depal huwa mnaangalia zile series za summer zinakuwa zimeektiwa sana majira ya summer huwa zinakuwa ni mystery, drama na romance kama 1. The summer i turned pretty 2. Outer banks 3. Pretty little liars na spin of zake a/ ravenswood b/ pretty little liars : perfectionist C/ pretty little liars original sin, 4. Cruel summer 5. 13 reason why 5. We were liars 6. I know what you did last summer. Vincenzo Jr
Tangu niwe nazima VPN naona simu inakaa na chaji masaa 72

Pia nani skumbuki hapa aliandika VPN inaharibu simu… wacha nisubiri mrudi hewani 😁😁
 
Tangu niwe nazima VPN naona simu inakaa na chaji masaa 72

Pia nani skumbuki hapa aliandika VPN inaharibu simu… wacha nisubiri mrudi hewani 😁😁
Simu inakaa saa 72 yaani siku 3 bila kuchaji ni simu Gani hiyo
😳😳😳😳😳
 
sijawahi kuiona, ndio umeanza ? Ni nzuri au miyeyusho tu
Ah kudadeki sjui nisemeje
Niliiona kitu kama Seran ameitaja hapo nyuma.. nikaenda kuicheck
Aisee ni ile ambayo Ep inaisha na unataka ujue Ep ijayo kunani
Macho yangu yameipenda sana, ni nzuri.. hadi nahisi kupigana ni jambo dogo 🤣🤣
Mpaka natamani huyo McCall adate na Detective Dante 😂😂
Ndo niko S2. ep ya 7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom