Series (Special thread)

Series (Special thread)

Summary 😁😁
Msichana anayeitwa Noah anahamia kwenye familia nyingine na mji mwingine baada ya mama yake kuolewa tena kwenye familia yenye pesa na huko anakutana na mtoto wa baba yake mpya, akiwa kwenye party ya marafiki wapya anatumiwa picha ya aliyekuwa jamaa yake akiwa na msichana mwingine hivyo akataka na yeye amuenyeshee kama ana mtu mwingine hivyo akatafuta jamaa yyte hapo kwenye party ila mtoto wa baba yake wa kambo anawajua watu hapo sio wazuri hivyo (this is disgusting 😁 ) ana amua kujitolea yeye na anampiga busu dada yake wa kambo na anamtua jamaa na mdogo mdogo hawa watu wanaanza kupendana 😁.
 
Jana nimekata EP mbili shukrani sana brother 😎
 
Hapoo hapoo kwenye busu. Najua halikuwa la juu juu, hizo race na mabusu uwiii.
Wacha niicheck hapa km nitaipata Moviebox
Msichana anayeitwa Noah anahamia kwenye familia nyingine na mji mwingine baada ya mama yake kuolewa tena kwenye familia yenye pesa na huko anakutana na mtoto wa baba yake mpya, akiwa kwenye party ya marafiki wapya anatumiwa picha ya aliyekuwa jamaa yake akiwa na msichana mwingine hivyo akataka na yeye amuenyeshee kama ana mtu mwingine hivyo akatafuta jamaa yyte hapo kwenye party ila mtoto wa baba yake wa kambo anawajua watu hapo sio wazuri hivyo (this is disgusting 😁 ) ana amua kujitolea yeye na anampiga busu dada yake wa kambo na anamtua jamaa na mdogo mdogo hawa watu wanaanza kupendana 😁.
 
Kuna demu mmoja anafanya kazi kwenye kampuni ya kutafutia watu wapenzi. Sasa ni miongoni mwa wanawake wanaopenda sana wanaume warefu halafu wenye hela nyingi. Huyu demu ana boyfriend wake ambaye kwenye hii movie ni Chris Evans yule wa Marvel.
Sasa demu anamkataa mdau sababu ni mrefu Iia hana hela so anakuja kukutana na mdau mwingine ambaye ana-fit sifa zake zote ambazo ni urefu na maokoto so demu ana-fall in love kwa mdau ambaye kwenye hii movie ni Pedro Pascal yule wa kwenye Last of Us.

Mwishoni anakuja kugundua kama Pedro aliongeza urefu wa mwili wake kwa kufanyiwa operation, so demu anamkataa mdau na kurudi kwa Chris Evans. Simply movie inafundisha mademu wasiangalie materials kama pesa au urefu au uzuri ila waangalie moyo😂
View attachment 3523223
Daah movie za hivi zinanipa shida sana kuzifuatilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom